Nimewatazama makolo kwa jicho la kiufundi zaidi na nimegundua bado wana safari ndefu isiyopungua miaka 4 ili kufikia walau nusu ya ubora wasasa wa Yanga SC.
Kila nikiwasikiliza na kuwatazama wanachama na mashabiki wa Mbumbumbu fc wakitokwa na mapavu, nazidi kuelewa ni kwa nini aden rage aliwaita mbumbumbu katika moja ya mikutano yao ya kijuha pale msimbazi.
Kolozidad wengi wanafikiri matokeo ya uwanjani yanaamuliwa na usajili wa wachezaji wazuri pekee, bila kuzingatia mazingira sahihi ya kiutendaji ndani ya klabu ndio yanatakayoamua ifanisi wa wachezaji husika.
Mfano wachezaji kama okrah, mkude, mudathiri yahya, sure boy n.k walionekana vituko katika timu zao za zamani za simba sc na azam fc, lakini walipofika katika mazingira ya Yanga sc, wachezaji hao hao wamegeuka na kuwa lulu, na sababu pekee ya ubora wao ni kutokana na usawa uliopo kiutendaji ndani ya Yanga sc.
SIMBA hata wamsajili messi bado ataonekana hafai sababu viongozi wa simba sc wanauwezo mdogo sana wa kufikiri, ebu fikiria walimuuza moses Phiri wakamleta jobe, wakamuacha okrah wakamleta Onana, wakamtema mkude wakamleta abdalah hamisi, wakamuacha beleke wakamleta Fred, wakamuacha rally bwalya wakamrudisha miquisson, inshort hakuna watu wenye utashi wa soka pale umbumbumbuni, viongozi wengi wa kolozidad ni wachumia tumbo, wapiga punyeto na wagonjwa wa akili huku upande wa pili mwekezaji wao nae anatoa ya maneno ya mipasho kama mwijaku!.
Kwa Kuzingatia hayo mchache siwaoni kolozidad wakipiga hatua kutoka hapo walipo kwa miaka ya hivi karibuni, hii timu imegeuka kituko cha mwaka, kuanzia ngazi ya viongozi mpaka mashabiki maandazi👇
Nimewatazama makolo kwa jicho la kiufundi zaidi na nimegundua bado wanasafari ndefu isiyopungua miaka 4 ili kufikia walau nusu ya ubora wasasa wa Yanga sc.
Kila nikiwasikiliza na kuwatazama wanachama na mashabiki wa Mbumbumbu fc wakitokwa na mapavu, nazidi kuelewa ni kwa nini aden rage aliwaita mbumbumbu katika moja ya mikutano yao ya kijuha pale msimbazi.
Kolozidad wengi wanafikiri matokeo ya uwanjani yanaamuliwa na usajili wa wachezaji wazuri pekee, bila kuzingatia mazingira sahihi ya kiutendaji ndani ya klabu ndio yanatakayoamua ifanisi wa wachezaji husika.
Mfano wachezaji kama okrah, mkude, mudathiri yahya, sure boy n.k walionekana vituko katika timu zao za zamani za simba sc na azam fc, lakini walipofika katika mazingira ya Yanga sc, wachezaji hao hao wamegeuka na kuwa lulu, na sababu pekee ya ubora wao ni kutokana na usawa uliopo kiutendaji ndani ya Yanga sc.
SIMBA hata wamsajili messi bado ataonekana hafai sababu viongozi wa simba sc wanauwezo mdogo sana wa kufikiri, ebu fikiria walimuuza moses Phiri wakamleta jobe, wakamuacha okrah wakamleta Onana, wakamtema mkude wakamleta abdalah hamisi, wakamuacha beleke wakamleta Fred, wakamuacha rally bwalya wakamrudisha miquisson, inshort hakuna watu wenye utashi wa soka pale umbumbumbuni, viongozi wengi wa kolozidad ni wachumia tumbo, wapiga punyeto na wagonjwa wa akili huku upande wa pili mwekezaji wao nae anatoa ya maneno ya mipasho kama mwijaku!.
Kwa Kuzingatia hayo mchache siwaoni kolozidad wakipiga hatua kutoka hapo walipo kwa miaka ya hivi karibuni, hii timu imegeuka kituko cha mwaka, kuanzia ngazi ya viongozi mpaka mashabiki maandazi[emoji116]
Wew ndio huujui mpira na misingi yake, mbali na kipaji cha mchezaji, psychology NI kitu muhimu sana kwenye football, na hii kitu inatengenezwa na mambo mengi kubwa ikiwa ni utulivu wa management na benchi la ufundi kwa msimu husika na sio vipaji tu mzee, Leicester city akiwa na akina okazaki, vadi, ndidi, silman very average players lakini benchi la uhakika chini ya claudio ranieri na tajiri wao aliefariki kwa ajali ya helicopter wakabeba Premier league, so wew shabiki chipukizi wa Mbumbumbu unataka kuniambia makolo wana timu mbovu?? Chelsea tangu kuondoka roman abromovich sasa wamesajili mastaa kibao mbona wanakwama, Barcelona vivo vivyo, ac Milan ndo wamepoteana soka la ulaya, vipi kuhusu man utd? Mzee football psychology ndio msingi wa performance za wachezaji, uongozi ukiwa tulivu, benchi la ufundi lililomakinika mchezaji automatically atahisi Ana deni kwa club yake lazima apambane, eng. Hersi anaishi na wachezaji kama washkaji zake wadamu na sio waajiriwa, nenda real Madrid namna ambavyo perezi anawalea kina vinicious kama wajukuu zake na sio waajiriwa.. Sasa nyie Mangungu na try again watu anakaa na wachezaji kama maroboti, yaan utafikiri watuhumiwa, kila siku wanashutumiwa, mwisho wa siku wanacheza kwa ajili ya mshahara na sio mapenzi.. Kula chuma hicho

Kama nakuelewa hv ..zamani kipindi fulani wkt nacheza cheza ilikua mkikaa na Mfadhili wetu Muhindi mmoja hv na yeye ananunua soda mnajiona watu ..mkienda ktk ndondo full mzuka
Mangungu na TryAgain wakamleta Yikpe na Gael Bigirimana kutoka Newcastle ya wingireza, halafu wakaja kumuuza Mayele. Hawa viongozi hawatufai pale Simba
Mfano wachezaji kama okrah, mkude, mudathiri yahya, sure boy n.k walionekana vituko katika timu zao za zamani za simba sc na azam fc, lakini walipofika katika mazingira ya Yanga sc, wachezaji hao hao wamegeuka na kuwa lulu