Mzuka Wanajamvi!
Jitu kakamavu, limepanda hewani ana sura ngumu. Isitoshe ni jitu la mazoezi linahudhuria Gym kila siku na kabla ya kunyanyua vyuma linapiga push ep 100 iyo ni kupasha.
Kwenye mkono yuko njema. Yuko vizuri kwenye martial anatembeza ngumi balaa.
Ni msiri na mkimya sana. Pia ni mjasiriamali na mfanya biashara ana hela nyingi sana.
Licha ya makelele mengi kutoka magharibi na nchi zingine za Africa pamoja na upinzani arudishe utawala wa kiraia General Nguema kiongozi mpya wa Gabon kasema hakuna cha uchagzi wala nini.
Kwa sifa hizi kuna yeyote anaweza kuthubutu kumpindua?