Ithibati kuna siku itakuja JF kama watawala wale wale watakuwepo.

Ithibati kuna siku itakuja JF kama watawala wale wale watakuwepo.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Mtu mwenye utawala wa roho mbaya kuna siku ithibati itafikia JF mkiona JF ikichagua watu na tena watambuliwe huko.
 
Mtu mwenye utawala wa roho mbaya kuna siku ithibati itafikia JF mkiona JF ikichagua watu na tena watambuliwe huko.
Ithibati imeshaingizwa ndani ya chama chakavu.Kilicho salia wanajua wenyewe
 
Shida kubwa ya watawaliwa ni kudhani yule akikandamizwa yule basi mimi hainihusu mwanzo waandishi walijua ukandamizaji ni kwa chadema tuu.
Sasa hivi wamefikiwa wengine tumenyamaza sababu sio waandishi. Kesho utafikiwa wewe, nitasema sio mimi ni wewe.

Lazima tuamke Heche anazungumza haya mambo no one is safe until we are all safe
 
Tumechoshwa na ithibati hizi za kipuuzi, zije tu, tutakabiliana nazo. Kuna ithibati moja ya vitabu vya elimu ya msingi na sekondari inaitwa EMAC, yaani Education Material Approval Commitee, imefutiliwa mbali baada ya kufanya ushenzi ushenzi kwenye mambo ya elimu, sasa ujinga huo haupo kwenye vitabu. Umeibuka upuuzi mwingine unaitwa JAB, huu upuuzi ndio utashindwa mapema na kubaki kama jibwa linalobweka lisilo na meno kwa waandishi wa habari. Teknolojia ya habari imeliacha mbali sana jibwa hilo
 
Hiyo ithibati ije haraka hata sasa! Sanasana itaharibu kazi za watu tu, imargine mtandao ukabaki na members wachache kuna biashara gani itafanyika? Mambo ya kipuuzi yakemewe na yaishe
 
Back
Top Bottom