Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Akizungumza mbele ya Maelfu ya wananchi huko Itigi, Tundu Lissu, huku akijiamini kupita kawaida, amesema kwamba, baada ya Rushwa hiyo Kabambe, Wafanyabiashara hao wakaruhusiwa kuongeza shilingi elfu 1 kwenye kila kilo na kuvuna hela haramu Bil 27 kwa kila mfanyabiashara, hela hizi zilitokana na kukamuliwa Watanzania ambao mara zote wanaitwa Wanyonge.
Lissu amedai kwamba Vibali hivyo vilitolewa kwa Marafiki na Jamaa zao wa Karibu katika mpango Muruwa wa Nifae leo nikufae kesho .
Kwa vile Sakata hili ndio kwanza limeanza basi Jitahidi sana kubaki hapa JF ili kujua Mnyororo wote wa Waliohusika, kuanzia Serikalini hadi kwenye Bodi ya Sukari.
Liwalo na Liwe
=====
Pia soma:
- Luhaga Mpina na Tundu Lissu, msiishie kwenye sukari tu, bali chunguzeni na biashara ya kukopesha mitandaoni
Pia Soma:
- Tundu Lissu: Kuna biashara haramu ya utoaji wa vibali vya uagizaji wa Sukari nchini. Siku nikitaja majina mtashangaa