Itikadi kali wamjia juu salah kuwatakia watu Krismasi njema

Itikadi kali wamjia juu salah kuwatakia watu Krismasi njema

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Screenshot_20251225-204725.jpg


Watu wa ovyo dunia hii kuwahi kutokea, bado wanaishi stone age 👇👇
Screenshot_20251225_204734_X.jpg

Screenshot_20251225_204755_X.jpg
 
 
Hivi hamjawaigi kujiuliza why Christian hawanaga shobo na Eid ila Islamists wanaumiaga na Christmas kinouma

Why???
 
Hivi hamjawaigi kujiuliza why Christian hawanaga shobo na Eid ila Islamists wanaumiaga na Christmas kinouma

Why???
Mnapenda kushoboka sana tena mno ikiwa siku za Eid, na hii nyinyi ndio mmeanzisha hii vita
Tumekaa kimya muda mrefu saaanaa, ilikuwa kila Eid lazima vidomodomo sana mara hii siku haitambuliki duniani mara hii sikukuu ya warabu,
Sasa sisi sio wanafiki, tunachana live, na si uongo zamani waislamu walikuwa hawana shida na krisimasi kabisa ndio kwanza tulikuwa wachinjaji wa mbuzi na kuku zenu
Kwa sasa tumeamua kila mtu kivyake na sasa tunawaongezea na bei ya vyakula masokoni mtie adabu
 
upumbavu tu mbona kila msimu anafanya ivo
Mimi pilau nmetandika kama kawa
Mafundisho ya dini kama kwangu naona hayana maana naachana nayo tu
 
Mnapenda kushoboka sana tena mno ikiwa siku za Eid, na hii nyinyi ndio mmeanzisha hii vita
Tumekaa kimya muda mrefu saaanaa, ilikuwa kila Eid lazima vidomodomo sana mara hii siku haitambuliki duniani mara hii sikukuu ya warabu,
Sasa sisi sio wanafiki, tunachana live, na si uongo zamani waislamu walikuwa hawana shida na krisimasi kabisa ndio kwanza tulikuwa wachinjaji wa mbuzi na kuku zenu
Kwa sasa tumeamua kila mtu kivyake na sasa tunawaongezea na bei ya vyakula masokoni mtie adabu
Chawa wa chura kiziwi katika ubora
 
Mbona kila Christmas hua anapost, anashambuliwa na haachi
 
View attachment 3520587

Watu wa ovyo dunia hii kuwahi kutokea, bado wanaishi stone age 👇👇
View attachment 3520589
View attachment 3520591
If you preach hate to other religions, then you are not civilized, Eti anasema Salah hawezi kufunga magoli kwa sababu amewatakia Xmas njema wakristo? Mbona wakristo huwa wanawatakia heri kwenye Eid na sikukuu nyingine za waislaam? Kama mnaona kwenu ni bora mnafanya nini kwenye western countries which are Christian? Kwanini msiende kukaa huko Arabuni, Indonesia, Pakistan etc.....Mnafanya nini nchi za magharibi magaidi ninyi? Sasa nimeelewa kwanini wapalestine wanafukuzwa huko Judea na Samaria? Very under civilized.
 
Back
Top Bottom