Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni itikadi sio itakadi.
Labda usichokifahamu kuwa Mgombea mkuu wa Chama cha Upinzani kunakuja na umaarufu mkubwa wa ndani na nje ya nchi, na hicho ndicho wanachokitafuta, anajua hawezi kushinda na kuiondoa CCM ni kama Tundu Lisu tu, attention seeking, Lowasa sasa hivi ni maarufu sana nje na ndani ya nchi sababu hiyo, ...
Na daima haziwezi kutimia.wanaotaka kutimiza ndoto za kuwania urais, wanafaya hivyo upinzani.