ITILIMA-MVUTANO WA KUKATWA CWT NA CHAKUHAWATA KWA PAMOJA WAIBUA SINTOFAHAMU KWA WALIMU

ITILIMA-MVUTANO WA KUKATWA CWT NA CHAKUHAWATA KWA PAMOJA WAIBUA SINTOFAHAMU KWA WALIMU

saligongo

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
305
Reaction score
355
Katika Hali isiyo ya kawaida baada ya walimu wanachama wa CHAKUHAWATA kujikuta wamekatwa mara mbili kwenye mishahara yao ya mwezi huu JULY baada ya MAMA kufanya yake,walimu hao wamejikuta wanakatwa vyama vyote ada ya uanachama yaani CWT na CHAKUHAWATA ilihali walishahama chama hicho ( CWT) kwa ridhaa yao.
SINTOFAHAMU hiyo imepelekea viongozi mbalimbali kukimbia ofisi zao siku ya IJUMAA ili kukwepa aibu ya kujieleza kwanini imekua hvyo baada ya mtafaruku kuibuka ktk ofisi za HALMASHAURI ,walimu hao wameamua kupaza sauti zao kwa unyanyasaji wanaofanyiwa na kuwatafuta baadhi ya viongozi waandamizi wa JUU wa nchi kuwafahamisha kuhusu uongozi m'bovu uliopo ktk wilaya hiyo ukiongozwa na DED na viongozi wengine walioidhinisha makato hayo!!

Hata hvyo jitihada zinaendelea ikiwemo kuwatafuta viongozi hao kutolea maelezo kwanini imetokea Hali hiyo!!

Uongozi wa chama Cha walimu CHAKUHAWATA umetoka tamko Hadi kufikia siku ya JUMATATU ( 28/07/2025) maelezo sahihi yawe yametolewa na viongozi hao huku wakisisitiza kupeleka TAARIFA hizi ngazi za juu zaidi kwa utekekezaji.
 
Una akili zako timamu kabisa unajiunga na chama kinaitwa CHAKUHAWATA?
 
Siyo lazima niwe mwalimu, lakini kiuhalisia hiyo CHAKUHAWATA kiwe mbadala wa CWT? nyie walimu wapya mna matatizo sana.
Wewe unashida kidogo chama kinatambulika kwa mujibu wa Sheria na mwalimu anayo haki ya kuwa mwanachama wa chama akitakacho unamlazimishaje kuendelea na upuuzi wa 2%
 
Wewe unashida kidogo chama kinatambulika kwa mujibu wa Sheria na mwalimu anayo haki ya kuwa mwanachama wa chama akitakacho unamlazimishaje kuendelea na upuuzi wa 2%
Shida unazo wewe uliyejisajiri vyama viwili vya wafanyakazi.
 
Kwa kuwa wewe cyo mwalimu na hujui lolote katika haya mambo,Bora tukuache ule mchicha na mlenda uongeze uoni ucwe hafifu!!
Mzee mimi nakupa lonja tu acha ujuaji. Nenda kufundishe itilima huko.
 
Back
Top Bottom