Itoshe kusema Ali Kiba ana msogo wa mawazo

Kwa hiyo kuwasingizia watu kuchokonolewa ndo matusi sana[emoji1787][emoji1787]
 
Kiba sasa hivi yuko kwenye level za wakina The Weeknd au Ed Sheeran. Huwezi kumfananisha na hawa kina Rayvanny.
 
Kibakuli sijui kiba huyo ali
Alipaswa kutoa list yake kisha ajiweke namba 1 diamond amuweke namba 99 mmakonde hata namba 2 au 3 kina zuchu wake namba 60 namba 5 amuweke hata dudu baya bonta maarifa 7
10 angefunga na ambaluti

Wala asingejiumiza kichwa
 
Siku 10 Soma vizuri.
Ningekuletea video sema staki nisijekuwa chawa want huyo Kibakuli wenu
Sema huna bhan kila mtu c kaiona ile vidio kwa poromota gan anaweza kulipa hy fedha kwa show moja punguza mahaba ya kijinga kwenye ukweli sema ukwel mpka hpo umekuwa zaida ya chawa sio useme hutaki kuja kuwa chawa wake
 
Sawa alikiba, naona unajikosha kupitia hii AIDII
 
Ukweli ni kwamba,hutarajii meneja wa wasafi akatoa maoni kuhusu hasimu wa diamond ,na alikiba aione halafu akae kimya..

Kiuhalisia alikiba huwa hapendi shobo so ni lazima angejibu tuu yaani lazima angawakata ngebe tu.

Kilichofanyika hapo ni propaganda ya kuendelea kimshusha ali kwa kigezo cha mawazo huru.

Naona ali yuko sawa tu,wao sio miungu kwamba lazima wasemee muziki wa tanzania.

Waambiani waache shobo.
 
Stressed Kiba
 
Stressed Kiba
 
Simple mtu akikwambia wewe sio bora, ina maana ina maanisha wewe sio bora?

Pili huwezi kupinga mawazo ya mtu binafsi tupo kwenye ulimwengu wa Demokrasia na si kutaka kudiktate mawazo ya watu.

Obama katoa List ya nyimbo anazo sikukiliza kwa mwaka ushasikia msanii yoyote wa USA akilalamika? Zito naye katoa list ya nyimbo zake bora za mwaka huu ushasikia msanii yoyote akilalamika,sababu moja Obama na Zito wametumia haki zao za uhuru wa kujieleza,kama Sallam na Tale walivyofanya.

Huu ulimwengu wa Demokrasia huwezi kumpangia mtu cha kuongea na ule ni mtizamo binafsi na si boomplay, audiomack,iTunes,BET Awards,Grammy,Bilboard chat nk.

Kama yeye anajiita King, mbona wenzake hawalalamiki, sababu ni mtizamo wake binafsi na hata kesho kuna msanii mwengine anaweza kujiita na hasimfanye lolote.
 
Kwani mkuu kiba anavyojiita King kwani kuna msanii yoyote amewahi kulalamika include WCB wenyewe?
 
Ila hata kama ni wewe kweli Alikiba ni WA kupitwa na Lava lava jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…