Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Mara baada ya tajiri Mo dewji kupost katika mtandao wa X kuwa Simba itasajili Mshambuliaji mwingine kabla ya dirisha kubwa kumalizika.
Habari zimevuja kuwa tayari Simba sc imeinasa mshambuliaji wa kimataifa wa Ethiopia, Abubeker Nessir kutoka klabu ya Mamelodi. Niwape tu habari kuwa huyu jamaa ni moto wa kuotea mbali sana. Kwasisi ambao tunaving'amuzi vya DSTV na wafuatiliaji wa ligi ya Ethiopia huyu jamaa atakuwa sio mgeni machoni mwetu kwani alikuwa mshambuliaji hatari wa kikosi cha Ethiopian coffee kabla ya kusajiliwa na Mamelodi Sundowns. Majeraha yaliyotokana na kusumbua sana mabeki yalimweka nje msimu uliopita ila kwa sasa amepona na amerejea kukipiga ndani ya uzi mwekundu kwa klabu namba moja kwa ubora katika bara la Africa kutoka ktk taifa la Tanzania.
Mnaweza kuangalia uwezo wake hapa
View: https://m.youtube.com/watch?v=CoF5lRjnZ8c&pp=ygUfYWJ1YmVrZXIgbmFzaXIgc2tpbGxzIGFuZCBnb2Fscw%3D%3D