Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Hivi hata tukirudi kwenye level ya nchi; unaweza kusema kabisa hadharani Simba ndiyo klabu namba moja kweli kwa ubora nchini Tanzania!!Ameandika "namba moja Afrika kutoka Tanzania", acha kukurupuka Kambaku .
Kwa misimu mitatu sasa imeishia kushika nafasi ya pili na ya tatu kwenye msimamo wa ligi!!
Hiyo namba moja kwa ubora inatokea wapi? Au unataka kutuletea zile takwimu za kisiasa, za CAF!