Tetesi: Itoshe kusema kuwa Mfalme wa soka nchini Tanzania, Simba Sc imepata mshambuliaji hatari Abubeker Nessir. Mabeki ya NBCPL wajiandae kulala na viatu

Hilo gori alilofunga si ni kama la mzize alilowafunga Azam jana
 
Kwa mechi mbili za Simba nilizoona, bado hatuna team ya kupambana na Yanga sijui tatizo lipo wapi au Mo mbahili? Au tuna viongozi wazee? Najiulizq sn
 
Kwa mechi mbili za Simba nilizoona, bado hatuna team ya kupambana na Yanga sijui tatizo lipo wapi au Mo mbahili? Au tuna viongozi wazee? Najiulizq sn
Tunajenga timu kumbuka simba imefumua kikosi chote jana wachezaji 9 walioanza hawakuwepo msimu uliopita
 
Hivi unaposema Simba ni timu namba moja Afrika inakuwa ni utoto au ujinga au ujuha au mahaba au ni nini hivi?
Wanajitoa ufahamu tuu bila kusahau wanameza porojo zote wanazoambiwa na kispika wao.
 
Huu utoto ndio unatugharimu mashabiki wa Simba.
 
U
Unamaanisha alikuwa majeruhi msimu wote uliopita, alafu msimu huu anaibukia Simba?

Mmemsajili based on 2022/2023 form, why msingesubiria arudi uwanjani muone atakuwaje. Maana majeruha ya kumuweka nje msimu mzima sio jambo la kupuuzia. Yale yale ya Sawadogo.
 
Timu zetu zinahangaika sana kwenda nje wakati wachezaji wameshajileta wenyewe sokoni hapa kwenye ligi yetu. Simba wangeweza tu kumchukua Elvis Rupia kama mshambuliaji wa kati Marouf Tchakei kama namba 10 basi hapo wangekuwa wamemaliza kule mbele.

Simba wasione aibu kujifunza kwa wenzao Yanga ambao wememchomoa Abuya hapa hapa bongo na yupo vizuri tu.
 
Tunajenga timu kumbuka simba imefumua kikosi chote jana wachezaji 9 walioanza hawakuwepo msimu uliopita
Mukwale sifa nyingi ila siioni anachofanya….sina imani bado na kikosi… mtu pekee nilie na imani nae ni kipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…