Hivi hata tukirudi kwenye level ya nchi; unaweza kusema kabisa hadharani Simba ndiyo klabu namba moja kweli kwa ubora nchini Tanzania!!Ameandika "namba moja Afrika kutoka Tanzania", acha kukurupuka Kambaku .
Mosi, kwa mujibu wa taarifa rasmi za wenye mpira wao Africa (CAF), Simba Sports Club ndiyo timu iliyo juu kwenye rank zao kuliko timu zote za Tanzania.Hivi hata tukirudi kwenye level ya nchi; unaweza kusema kabisa hadharani Simba ndiyo klabu namba moja kweli nchini Tanzania!!
Kwa misimu mitatu sasa imeishia kushika nafasi ya pili na ya tatu kwenye msimamo wa ligi!!
Hiyo namba moja inatokea wapi? Au unataka kutuletea zile takwimu za kisiasa, za CAF!
ya 7 afrika ya kwanza tanzaniaHivi hata tukirudi kwenye level ya nchi; unaweza kusema kabisa hadharani Simba ndiyo klabu namba moja kweli nchini Tanzania!!
Kwa misimu mitatu sasa imeishia kushika nafasi ya pili na ya tatu kwenye msimamo wa ligi!!
Hiyo namba moja inatokea wapi? Au unataka kutuletea zile takwimu za kisiasa, za CAF!
Mashabiki wa simba acheni kuamini tu kwenye takwimu. Muwe mnaangalia na uhalisia wa mambo.Mosi, kwa mujibu wa taarifa rasmi za wenye mpira wao Africa (CAF), Simba Sports Club ndiyo timu iliyo juu kwenye rank zao kuliko timu zote za Tanzania.
Pili, mimi nilikuwa nimemnukuu mchangiaji hapo juu,na si kauli yangu mimi.
This season imepanda ngazi 1 imekuwa ya 6ya 7 afrika ya kwanza tanzania
Bado tunajenga timuMukwale sifa nyingi ila siioni anachofanya….sina imani bado na kikosi… mtu pekee nilie na imani nae ni kipa