Itoshe tu kusema: Movie ya SAW Wamarekani walituliza akili

"The only door you know, is between your legs".... **** mwamba alimwambia demu kwenye moja wapo ya scene za mfulurizo wa movie hizo wakiwa mtegoni..[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ukiskia "Hello John your under play the game" ujue kimenuka[emoji23][emoji23]
Na hapo umehamshwa toka usingizini...[emoji2][emoji2]...ukiwa na wenge umefikaje, unakuta mdomo wako umeshonwa na nyuzi..[emoji38][emoji38]..halafu mwenzako kashonwa macho..[emoji1787][emoji1787]...mjitetee sasa... Jamaa anawapa dk 15 za kujinasua kisha anasepa zake...
 
Hahahahah ila JigSaw ni nyoko sana
 
Pole sana!

Funzo ni kuwa na ujasiri wa kufanya lolote linalowezekana ili kujiokoa katika hali ngumu za maisha hasa kwenye hatari kama hizo ambazo hao wahanga walikutana nazo.

Ingawa, si funzo ambalo wote tunaweza kulikubali.
 
You are 12% right!
 
Jamaa walikuwa wametoka kuhitimi Film school, Ila hawakuwa na pesa. Ndiyo maana walilazimika kuwa wabunifu ili wasitumie maeneo mengi (ambayo Ni tafauti na movies nyingi zinazofanya vizuri)...
 
Back
Top Bottom