Itoshe tu kusema: Movie ya SAW Wamarekani walituliza akili

Mimi namuona Jig Saw kama shujaa na si katili

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Yaap kwa maana ukiangalia Mzee alikua anatoa mitego mikali hasa kwa vijana ,alitaka vijana nao wajue kupambana na changamoto za maisha wafikie kama Yeye uzeeni

Kama unakumbuka na kama sikosei SAW 4 au 5 Mzee John Kramer(Jigsaw killer) alikuwa amekufa akapasuliwa fuvu la kichwa na ubongo, ila alimwachia urithi bi mdada Amanda aendeleze game,akawa anapambana na ditective Hoffman.
 
Hapana sio lengo la mzee hilo. Wale wote walikuwa wanalipia unyama waliotenda kwa wenzao wasio na hatia.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Shida ni nani kamuweka mzee yeye kuwa judge and executioner, hamna mwenye mamlaka hayo isipokuwa sheria na mwenyewezi Mungu
Mungu ana njia zake za kuonya na kuadhibu. Anaweza akatumia watu atakaowahitaji au asitumie watu. So bado tunarudi pale pale, huenda mzee alitumiwa tu. Pia maudhui ya movie yanaonesha wazi hilo.

Kikubwa umepata ujumbe(ndilo lengo kuu) kuwathamini wengine na kutowaonea wala kuwaua wasio na hatia kwa unyonge wao. Hope umeelewa!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Mungu ana njia zake za kuonya na kuadhibu. Anaweza akatumia watu atakaowahitaji au asitumie watu. So bado tunarudi pale pale, huenda mzee alitumiwa tu. Pia maudhui ya movie yanaonesha wazi hilo.

Kikubwa umepata ujumbe(ndilo lengo kuu) kuwathamini wengine na kutowaonea wala kuwaua wasio na hatia kwa unyonge wao. Hope umeelewa!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Saaafi
 
Yeah
 
Ile movie inafikirisha sana kukufanya mtu kujitafakari sana kuhusu kupuuza watu wengine na mahitaji yao.

Director wa ile movie na mwandika story wametumia ubunifu na akili ya juu sana katika kutengeneza fikra ya kujenga kupitia filamu ya maudhui ya horror.

Wale wahusika wote waliopo katika ile movir ambao yule mzee alikuwa akiwateka na kuwawekea mtego walikuwa ni watu waliofanya mambo maovu au mabaya kisha wakafanikiwa kuyaficha kwenye jamii.

Sasa yule mzee kwa hasira sababu ya aliyofanyiwa kwa mkewe akagundua kuna watu huwa wanafanya makosa kwa kusudi na kuacha wengine wabebe msalaba. Maana yake wanawapa watu mtihani wa kuchagua kati ya kifo na mateso.

So mzee akaamua kutengeneza scheme ya mtego na kukamata kila mtu ambaye alikuwa na situation ya kufanyia wengine vibaya na kuwapa ultimate challenge ya kuamua kuishi kwa kutengua kitendawili cha mateso na maumivu makali ambacho hakitamuacha muhusika sawa tena au kufa katika mtego huo huo.
 
Back
Top Bottom