Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,360
- 2,269
- Thread starter
-
- #41
Oooh ndio wakatoa movie ya SAW? Vichwa kweliJamaa walikuwa wametoka kuhitimi Film school, Ila hawakuwa na pesa. Ndiyo maana walilazimika kuwa wabunifu ili wasitumie maeneo mengi (ambayo Ni tafauti na movies nyingi zinazofanya vizuri)...
Yeap! Big result in low budget...
Yaap ile mitego inahitaji akili sana kuikwepa,the same kwenye maisha inahitajika akili na busara kupambana na Magumu na vikwazo mbalimbali unavyokutana navyo kwenye maisha ya kila sikuIna funzo na ujumbe wa siri kwa watu wenye akili pekee
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Kumbe walikuwa sehemu moja tu? SAW hatari sanaYeap! Big result in low budget...
Mimi namuona Jig Saw kama shujaa na si katiliYaap ile mitego inahitaji akili sana kuikwepa,the same kwenye maisha inahitajika akili na busara kupambana na Magumu na vikwazo mbalimbali unavyokutana navyo kwenye maisha ya kila siku
Yaap kwa maana ukiangalia Mzee alikua anatoa mitego mikali hasa kwa vijana ,alitaka vijana nao wajue kupambana na changamoto za maisha wafikie kama Yeye uzeeni
Hapana sio lengo la mzee hilo. Wale wote walikuwa wanalipia unyama waliotenda kwa wenzao wasio na hatia.Yaap kwa maana ukiangalia Mzee alikua anatoa mitego mikali hasa kwa vijana ,alitaka vijana nao wajue kupambana na changamoto za maisha wafikie kama Yeye uzeeni
Kama unakumbuka na kama sikosei SAW 4 au 5 Mzee John Kramer(Jigsaw killer) alikuwa amekufa akapasuliwa fuvu la kichwa na ubongo, ila alimwachia urithi bi mdada Amanda aendeleze game,akawa anapambana na ditective Hoffman.
Hapana sio lengo la mzee hilo. Wale wote walikuwa wanalipia unyama waliotenda kwa wenzao wasio na hatia.
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Mungu ana njia zake za kuonya na kuadhibu. Anaweza akatumia watu atakaowahitaji au asitumie watu. So bado tunarudi pale pale, huenda mzee alitumiwa tu. Pia maudhui ya movie yanaonesha wazi hilo.Shida ni nani kamuweka mzee yeye kuwa judge and executioner, hamna mwenye mamlaka hayo isipokuwa sheria na mwenyewezi Mungu
SaaafiMungu ana njia zake za kuonya na kuadhibu. Anaweza akatumia watu atakaowahitaji au asitumie watu. So bado tunarudi pale pale, huenda mzee alitumiwa tu. Pia maudhui ya movie yanaonesha wazi hilo.
Kikubwa umepata ujumbe(ndilo lengo kuu) kuwathamini wengine na kutowaonea wala kuwaua wasio na hatia kwa unyonge wao. Hope umeelewa!
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Mungu ana njia zake za kuonya na kuadhibu. Anaweza akatumia watu atakaowahitaji au asitumie watu. So bado tunarudi pale pale, huenda mzee alitumiwa tu. Pia maudhui ya movie yanaonesha wazi hilo.
Kikubwa umepata ujumbe(ndilo lengo kuu) kuwathamini wengine na kutowaonea wala kuwaua wasio na hatia kwa unyonge wao. Hope umeelewa!
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app