HongeraHabar wana jf
Tunamshukuru mungu anaendelea kutupigania
Finally usiki wa kuamkia leo wife amejifungia na tumepata mtoto wakiume na wote wakosalama mama na mtoto tunashukuru mungu View attachment 2617780
Kwa heshima yenu pia wote nawapa nafasi ya kumchagulia jina ambalo atapewa na pia naimani ntamlea katika misingi ya ki JF nabaada ya miaka kadhaa nitahakikisha anakuja kuwa member wa JamiiForums Asanteni karibuni wote
Amuite Mpwayungu [emoji23]kwa misingi ya kijf mpe fake name.
hongera kwenu kwa kupata mtoto.
au litutumbwe 😂Amuite Mpwayungu [emoji23]
Hi cutie pie. 😆Hongereni sana wazazi, i send my hugs to a new born,
Muiteni STAR.