Huyu mtu ataniharibia sana😁
Hahahah... mwite hilo jina atakuja kuwa mwenye busara sana maana majina yanabeba maana kubwa sana.Mkuu asije akaandikisha mali zote jina la mamaake [emoji23][emoji23]
Hahahah... mwite hilo jina atakuja kuwa mwenye busara sana maana majina yanabeba maana kubwa sana.
Malezi mema mkuu, jitahidi uwe Baba kweli, uwepo wako utamjenga kujiamini na kuwa na maamuzi thabiti atakappkuwa mtu mzima.
Muite Ivan,Elvin,JovinMpe jina itakuwa powa jina kutoka kwa auntie yake