It’s a Boy

It’s a Boy

Hapana sio mimi bhana, mimi ni mimi hapa sasa

Siunajua tena nguo zetu hizi za K/koo unanunua mnajikuta mmevaa wengi

Kabsa mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu asije akaandikisha mali zote jina la mamaake [emoji23][emoji23]
Hahahah... mwite hilo jina atakuja kuwa mwenye busara sana maana majina yanabeba maana kubwa sana.

Malezi mema mkuu, jitahidi uwe Baba kweli, uwepo wako utamjenga kujiamini na kuwa na maamuzi thabiti atakappkuwa mtu mzima.
 
Shukrani sana mkuu nimekuelewa vyema wacha tumlee kama ulivyo agiza mkuu
 
Back
Top Bottom