Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣basi agizien mkunywe hapo home huku ukimkumbushia jinsi usumbufu aliouleta wakati unamuimbisha songi enzi hizo bado vijana🤣🤣Choka mbaya, tulikuwa shambani siku nzima, huo mda wa kwenda cab saivi nani anao, ngoja kwanza tubanane, Magu kasema!!
😀😀Natania mkuuHuwa unauza au ni yako binafsi kwa ujenzi wako..
Hongera mkuu..
Ni kitu gani utapenda kufanya wikend hii kama kuupa moyo suuziko!?
Boardroom sinzaWooooooozaaaah...ni wapi hapo mkuu..
Inawezekana tuko sehemu moja[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kidogo tuUnakabaí ½í¸í ½í¸
Hahhahahahaa...tufahamiane kimjini mjini tu ...Sasa nguvu ya kuhubiri itatoka wapi bila kutuwezesha?
Kimiminika kizur, mvinyo tuSafi san..pembeni basi pawe ni kimiminika kizuri kuisindikiza hiyo series mkuu
Kutoa sadaka anaamua Mungu, sio binadamu.Utume na sadaka
Mbona umechelewa wewe mi nipo huku😅😅😅ijumaa yangu inakuja inakata,inakuja inakata🤣🤣🤣hata siielewi elewi bado naendelea kuizoom tu 🧐🧐🧐🧐🧐
Yako ikoje? Umepanga kwenda wapi leo?kuwatch movie,ball,kuruka kwanja,kuchil na bae home,kupiga vyombo🥃home au unatoka na washkaji,ikoje!
😅😅😅au na wewe yako huielewi kama yangu😎😎
View attachment 1530187🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂