It’s already wikend huh....

It’s already wikend huh....

🤣🤣🤣🤣🤣🤣Enzi zangu nakumbukia nilikua nalala na kabukta...juu katop Fulani...khaaa umri na majukumu yanavonisonga najikuta nalala na manguo kma naenda msibani...au maiti kbs!yaani uzee ni janga ...enzi Hizo unaskiza Nigerian songs huku unakaanga tumayai umpe mume Sasa hivi ni radio ya dini 24/7 ukisikia mahubiri unaongeza sauti kbs..na nyimbo za kurudi kwa Yesu full kutishwa🤸🤸🤸🤧🤧!
Kaniki ntaanza soon kuvaa😀😀
Una uzee gani wewe....?
 
[emoji28][emoji28][emoji28]ijumaa yangu inakuja inakata,inakuja inakata[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hata siielewi elewi bado naendelea kuizoom tu [emoji3166][emoji3166][emoji3166][emoji3166][emoji3166]

Yako ikoje? Umepanga kwenda wapi leo?kuwatch movie,ball,kuruka kwanja,kuchil na bae home,kupiga vyombo[emoji1634]home au unatoka na washkaji,ikoje!

[emoji28][emoji28][emoji28]au na wewe yako huielewi kama yangu[emoji41][emoji41]

View attachment 1530187[emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635]
Mimi nitasema don't post anything at all, wajue umekufa.
 
Back
Top Bottom