Its Confirmed: Mourinho will be MAN UTD Manager



Bila kupigania mabadiliko ya katiba, hakuna kitu kiongozi. Upinzani hauhitaji nguvu kubwa kupata kura za kutosha. Nguvu kubwa zipelekwe kwenye kudai katiba mpya ambayo ndiyo suluhisho la kutangazwa kwa mshindi!. Kwa nini tuzungeke mbuyu?

Kama hatutakuwa na mpango madhubuti wa kupatikana katiba ya wananchi, ninaomba hizo fedha za mkutano, zinunue sukari, Isambazwe nchi nzima wauziwe wanachama wa UKAWA waliopo na wanaojiunga. Tena kwa sababu ya sukari na maisha kuzidi kuwa magumu huku kina Lugumi wakilindwa kwa nguvu zote za serikali ya ccm, wanachi kutelekezwa wakifa kwakukosa huduma za afya huku waliojidai kwamba watawapa mabadiliko wakionyesha hata hawayajui mabadiliko yaliyokuwa yanaletwa na UKAWA, na kwamba hata nia wala maono na uwezo wa mabadiliko hawana zaidi ya sarakasi za kisanii, UKAWA watengenze kadi nyingi sana za wanachama wapya. Wazitawanye nchi nzima, na sukari kwa wingi ili wanachama wao wnaunue.

Wabaki CCm wakipiga makofi pamoja na miayo! Duh, aibu hiii!!!!!!!!!!1
 
CHADEMA ni chama cha Lowassa?,
 
Low
Lowassa hana credibility na moral authority ya kudai katiba, record zipo juu ya msimamo wake dhidi ya katiba ya Warioba, hii kazi awaachie kina Lissu, Mnyika na wengine ambao nadhani kwa sasa hawako nae.
 
Low

Lowassa hana credibility na moral authority ya kudai katiba, record zipo juu ya msimamo wake dhidi ya katiba ya Warioba, hii kazi awaachie kina Lissu, Mnyika na wengine ambao nadhani kwa sasa hawako nae.


Sijui kama umeelewa nimesema nini. Wewe unavita vyako na Lowasa ambavyo mimi sitaki kuhusishwa. Mimi ninavita na mfumo mbovu na katiba mbaya ambayo inatakiwa ifutwe na itungwe mpya kwa maslahi ya Taifa zima ukiwemo wewe, mimi na adui zako.

Sasa ninaita wito kwamba wewe, Lowasa, Lisu, Mnyika na Watanzania wote tuungane tupate katiba ya Wananchi. Ila hatutakuruhusu kuleta vita yako dhidi ya Lowasa ndani ya matengenezo ya katiba ya Taifa. Hatutaki vita, tunataka mshikamano wa kitaifa.

Vipi huko,mvua zinanyesha??
 
Ha ha ha, ina maana kale ka mtindo ka anayeanza lazima amalize ka CCM jamaa a mesh aka hamishia huku, kama ndivyo democrasia IPO wapi ndani ya Chama cha Democrasia na Maendeleo. Mm nadhani hii trend so nzuri kwa CHADEMA unless otherwise kama ni mkakati vinginevyo inaweza kuleta mgawanyiko ndani ya chama.
 
Weweeeeeeeeee!!!! mafuriko yameanza ila nna mashaka na matamko toka kwa makamanda wa polisi nchi nzima maana huyu mtu akiongea tu si CCM ama serikali ni full presha
 
Chama shiriki???? una maana gani kamanda wa CHADEMA? makamanda tunamsubiri na mifagio tukadeki barabara hatujali kutukanwa na mafisadi waliachwa CCM...lol
 

ALIPOKUWA CCM MLIKUWA MNAWAAMBIA WANANCHI KWAMBA AMELETA MAENDELEO SANA MONDULI. SASA SIJUI KAYAONDOA HAYO MAENDELEO BAADA YA KWENDA UPINZANI?
 
Ohooo, bado tuna uhaba wa Sukari, mnataka kusababisha uhaba wa PAMPAS tena?
 
Ana haki, Ng'ombe wamejaa nchi nzima, akazihutubie tu.
#MyTake vijana kazaneni kufanya kazi, Huyu Babu Hana jipya
 

Haya ni matusi makubwa kwa wanachadema waliohangaika na kampeni za M4C tokea mara tu baada ya uchaguzi wa 2010. Na ni matusi makubwa kwa viongozi wa vyama waliohangaika kuunganisha vyama ili kuwe na nguvu ya umoja. Maana hizo jitihadi zote hazikuweza kuongeza kura, ila Lowasa aliyeingia mwezi mmoja kabla ya uchaguzi ndo ameongeza kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…