Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameen... Thank you grand-pa...! U a so sweet.
Ha ha ha... Babu bana....! Hapo nilikuwa nasemaje babu, kuwa una roho nzuri... Kwani babu ulifikiri mesamaje?
Wakati nasoma Mtambani praimare skuli standadi sree B elimu ya Mkoloni, mwalimu Mfinanga alinambia SWEET kwa kinyerere ni TAMU.
Mbona sijaona neno TAMU hapo? Hebu acha masihara bana, tafsiria babu tena....kwa sauti tafazali.
Wee mkare tukutane paree paree kwakuwa wewe ni odinaree ila usichukue mpango wa kando si usaree kwa kuwa watapiga kelele ili tuwadareee.
Thanx kwa mistari mkuu. Kumbe nawe mkaree kwenye hii kitu... Teh teh
Ha ha ha... Yes babu, kwa tafsiri sisisi sijui inaitwa vile maana yake wewe ni mtamu, ila ki maana zaidi ndio kama kusema una roho nzuri...tehe... Babu usiniulize tena kama nimewahi kukula pliiiiiiiiiiiiiiz! Nilikuwa namaanisha hiyo ya roho nzuri
Babu anarudi kwenye MatofalihAHAHAHAHA..........Senkyu veri machi
Babu ni mtamu....orayt........mjukuu yeyote wa jinsia ya KE anayetaka kumwonja babu, aniPM
Babu anayaweka yote hayo moyoni mwake afu anarudi zake kitandani
Ni aje beste:biggrin1::biggrin1:hàppy birthday dear
Orait OraitMwaya the Finest, megonga tu hiyo Thanx but haijafungua. Sijui compt kimeo...tehe
Ha ha ha... No comment babu
Ha ha ha... Nitafute jioni kwenye b'day party mitaa ya kati babu uione avatar live bila chenga....