Its My Birthday, uzee unaniandama

Bask katoto kama umesoma enzi ikiwa girls school. Sie tulisoma enzi hizo ni mixture.
Wakati naingia pale nilikuta story za akina mtatiro kuchoma bwalo na kufanya vurugu, ikapelekea uongozi kuhamishia boys wote kilosa shule ikabaki ya girls tupu, sema ni kama haikusaidia maana tulipokua form five, girls wa form six walikua wakorofi kila siku migomo mpaka wakachoma tena shule ikafungwa
 
Wala hiyo haikuwa sababu ya kuhamisha wanaume. Halafu enzi za Mtatiro wala hakuna mgomo uliwahi kutokea. Uchomaji ulitokea kipindi cha nyuma kabla hata hajajiunga hapo.
 
Hongera kwa kuzeeka
 
Nimeona Machupi 😢😢

Basi bila shaka mimi nipoo uzeeni tayari bila hata kuukaribisha.

Anyway api basdei Abrianna
Hahaha thank you my sis Karucee ila sijui umewaza nini hadi ukaona machupi, its still late afternoon
 
Happy birthday Abrianna. Mungu azidi kukupa maisha marefu, afya njema na mafanikio tele.

Pamoja na kusema kwamba uzee unakunyemelea lakini kwangu mimi bado nakuoma kama binti wa miaka 18.

Ni siku yako, hivyo furahi sana.. Abrianna. Pia nitume wapi hii zawadi yangu? Bank au Tigo pesa/Mpesa?
 
Thank you joshydama, stay blessed rafiki
 
Happy birthday Abriana..
How I wish ningekupa zawadi special leo hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…