Its My Birthday, uzee unaniandama

Its My Birthday, uzee unaniandama

Getting old is a blessing which doesn't happen to many people,kumbuka watu wangapi wamekufa ambao ni rika lako au wadogo zaidi. You are still around surviving and persevering, happy birthday.
 
Getting old is a blessing which doesn't happen to many people,kumbuka watu wangapi wamekufa ambao ni rika lako au wadogo zaidi. You are still around surviving and persevering, happy birthday.
Its a blessing indeed, asante sana ipyax
 
Ninamshukuru Mungu kwa kuiona siku ya leo nikiwa na afya na uzima, ninegundua kwamba uzee unaniandama maana mpaka sura imeanza kuota makunjo

What makes me happy ni kwamba leo June 15 tunaugawa mwaka katikati kabisa bila kupunja upande mmoja, what a blessing kuzaliwa siku kama ya leo.

Wale wenzangu June babies lets celebrate, msisahau kumrudishia Muumba sifa na Shukrani

Mimi nasherekea na wajukuu zangu huku shamba, tunachoma mahindi na kula maparachichi.
Karibuni.
Happy birthday to you and God bless you
 
Back
Top Bottom