Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilitaka niwahi hiyo fursaYes bro, na wajukuu kabisa
Happy birthday to you and God bless youNinamshukuru Mungu kwa kuiona siku ya leo nikiwa na afya na uzima, ninegundua kwamba uzee unaniandama maana mpaka sura imeanza kuota makunjo
What makes me happy ni kwamba leo June 15 tunaugawa mwaka katikati kabisa bila kupunja upande mmoja, what a blessing kuzaliwa siku kama ya leo.
Wale wenzangu June babies lets celebrate, msisahau kumrudishia Muumba sifa na Shukrani
Mimi nasherekea na wajukuu zangu huku shamba, tunachoma mahindi na kula maparachichi.
Karibuni.
Thank you Ollachuga OcHap bon mtoto mzuri