Its My Birthday, uzee unaniandama

Its My Birthday, uzee unaniandama

Lol!!!! Maccm yaweke jina langu kwenye mkeka? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yananijua mimi sina uzalendo, mchochezi na natumika na BEBERUS! Yamejitahidi kunibambikia kesi ya uhujumu uchumi ili yanitupe lupango lakini hayajafanikiwa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Halafu nilijua jina lako lipo kwenye huu mkeka ila umeambulia patupu BAK Labda tusbiro pdf ya wakurugenzi
 
Lol!!!! Maccm yaweke jina langu kwenye mkeka? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yananijua mimi sina uzalendo, mchochezi na natumika na BEBERUS! Yamejitahidi kunibambikia kesi ya uhujumu uchumi ili yanitupe lupango lakini hayajafanikiwa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Hahaha ila uvccm wanalia, kuna mmoja yeye ni kindakindaki aliwahi niketea hadi vitenge vya ccm nikaamua kumtandikia mbuzi wangu bandani, jana alikuja akaniambia kama nina connection ya kazi yotote nimuunganisha hataki kuwa mtumwa tena wa chama, nikamuuliza kulikoni akasema eti ametoa maidha yake yote kwa ajili ya chama lakini haoni futureπŸ˜…, nikamwambia aende lumumba watampa connection mimi sina
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hahahahaha lol! Mtafutie connection banaa. Wewe ni mtu wa maconnection tena makubwa makubwa atakuja kukushukuru sana ukimvusha na hili janga linaloitafuna uvccm ndani kwa ndani. Kuna wadada wawili kule Twitter mauvccm walikuwa wakinitusi sana siku hizi wamekuwa kimyaaaaa teuzi zimeota manyasi hawashoboki shoboki tena πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Samahani mkuu, sina ujamaa na uvccm, hata connection zitagoma zikijua kama ni uvccm
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Nakuelewa sana, kuwasaidia watu waliokuwa wakishangilia maovu ya kutisha ya yule mwendazake inahitaji moyo sana.
Samahani mkuu, sina ujamaa na uvccm, hata connection zitagoma zikijua kama ni uvccm
 
Ninamshukuru Mungu kwa kuiona siku ya leo nikiwa na afya na uzima, nimegundua kwamba uzee unaniandama maana mpaka sura imeanza kuota makunjo

What makes me happy ni kwamba leo June 15 tunaugawa mwaka katikati kabisa bila kupunja upande mmoja, what a blessing kuzaliwa siku kama ya leo.

Wale wenzangu June babies lets celebrate, msisahau kumrudishia Muumba sifa na Shukrani

Mimi nasherekea na wajukuu zangu huku shamba, tunachoma mahindi na kula maparachichi.
Karibuni.
Hongera mjukuu wangu
 
Happy belated birthday mkuu.

Huwa napenda sana brain yako kusema kweli.

More blessed years ahead...
 
Back
Top Bottom