It's nivea birthday to day........happy birthday nivea

It's nivea birthday to day........happy birthday nivea

Happy birthday mcheku wa kaa Nivea ila usisahau kununua petrol kwa ajili ya jenerata au bila umeme utalala mapema kwa kujiachia na baada ya miezi tisa - Happy Birth Day to the child.
hahaahahahaah unamaanisha :mimba::mimba::mimba::mimba::mimba:
 
My dearest twin Nivea

40th-Birthday-Wishes-1.gif
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha, hii lazima nitoe

Ujue na mie June baby ndio maana nimeguswa na Nivea na Mamndenyi

Kongosho uwe unatoa ahadi za kweli, si kama za Vasco Da Gama ambazo tumehabarishwa na yule Mwl ambaye sasa ni Waziri kuwa ni ahadi za serikali na zitatekelezwa na Mkuu yeyote wa nchi atakayeingia madarakani. Hakikisha Nivea anatapta lunch, lol!
 
Last edited by a moderator:
happy bday my little daughter Mungu akupe maisha marefu yenye upendo, amani na utulivu
ila umedhamllia kweli bestito yani mpaka umewekea thread na DSpecial ngoja nimwite nitonye kwani amechelewa bahati yake
 
jamani mwenzenu shurti juzi niweweseke na kutoa roho yaani sijawahi sikia sauti tamu, nzuri na yenye mvuto kiasi kile yaani imeniacha mpaka leo bado naifikiri yaani sauti ya babu Asprin
 
Last edited by a moderator:
Kata keeki tuule! Kata keki tuule! Happy bday! Hapybday.! Happy bdaye 2 youuuu! Braavooooh! Nivea!
 
jamani mwenzenu shurti juzi niweweseke na kutoa roho yaani sijawahi sikia sauti tamu, nzuri na yenye mvuto kiasi kile yaani imeniacha mpaka leo bado naifikiri yaani sauti ya babu Asprin
ukiisikia ya KakaKiiza si ndio na ligo unapiga hapo hapo hahahahaahahahah nikupe namba yake na huyu usikilize sauti tu!
 
Back
Top Bottom