NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Bibi wa pili hua anakuja kumbukizwa ukimwi in most cases...kuna ile mila ya wajaluo na waluhya kuoa mke wa mtu
aliyefariki. Sijui kama hii kitu bado inaendelea Nyanza na Western.
hakuna jambo kama hilo kwa waluhya