Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,258
- 20,386
Hahahaa kwa hiyo Tanzania hatuna hizo barabara? Hahaaaaa kweli nyie akili iko pungufuA street road that you dont have
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa kwa hiyo Tanzania hatuna hizo barabara? Hahaaaaa kweli nyie akili iko pungufuA street road that you dont have
.@uber_kenya has finally launched #UberEats in Nairobi. Making it the 4th city in Africa after Cape Town, Johannesburg and Durban
Huwa yanajigamba kwa vitu vya kijinga kijinga tu, ona hii ya uber sasaHayana lolote michoka mbaya, life lao la hovyo tu
We were doing a pilot survey tuone kama Brt itafanya...ikikataa tunaenda Light RailKenya ni taifa la blah blah kibao, nakumbuka ile BRT ya kuchora kwa rangi kwenye street road!!
Why Nairobi not Lagos or Cairo...If you see nothing special you're mentaly hillWhats so special about this? Uber eats opens an office in Nairobi and Kenyans are bursting with joy.....hahahahaa ushamba mzigo!
That was not a pilot survey, ulikuwa ni ukamilishaji wa mradi wenu wa BRT kwenye barabara za mitaani.We were doing a pilot survey tuone kama Brt itafanya...ikikataa tunaenda Light Rail
Brt isn't so expensive.. Light rail is expensiveThat was not a pilot survey, ulikuwa ni ukamilishaji wa mradi wenu wa BRT kwenye barabara za mitaani.
BRT isn't cheap as you think, its a multi planed task!
But Kenyans stop bragging on cheap things!! We're close neighbors,Brt isn't so expensive.. Light rail is expensive
You're only ahead in Natural(God given) but there is no Mad-made staff you're ahead...Kenyans are hard workingBut Kenyans stop bragging on cheap things!! We're close neighbors,
Some of categories we're ahead of you, some you're ahead!!
Unfortunately you think you're ahead in each arena!
You mean man-made?You're only ahead in Natural(God given) but there is no Mad-made staff you're ahead...Kenyans are hard working
nikiwaona wabongo lala hapa wakipayuka ushenzi mi ushangaa Kenya iwezi linganishwa nao ila tu sisi ni ndugu full stop. hawa tunawapiga gap by 2022 uchumi wetu utakuwa double wao. wacha wagoje UN ifungue ofisi kwao ili wawe matajiri. pumba zao![/QUOTE
Huduma ipi mwananchi wa kawaida Kenya anaipata aliyeko Tanzania hawezi ipata..Nitajie tano then uone sometimes kulinganisha vitu haina mantiki kama mwamnachi wa kipato cha kati hawezi afford hiyo huduma
Haha what is Tanzania doing??
Give me the stats...You mean man-made?
Anyway you have installed that mindset within your thought, no one can turn you otherwise unless you accept statistics!
Because Tanzania we are not lazy and low like youWhy Did uber eats choose Nairobi after south African cities and not Lagos, Cairo ...of course dar can't be chosen....uber eats will first cover Mombasa before dar
They need detailed info for simple factsWhat it means ni kwamba Kenya kuna middleclass wa kutosha wanao uwezo wa kufaidisha na ku sustain ubereats kwa ku order vyakula kutoka top restaurants and hotels hapo jijini
Haha typical Tanzanian...u need to go for fee refundBecause Tanzania we are not lazy and low like you
Wewe ndio mshamba, yaani unaona hichi ni kitu cha kubrag? 😀 😀 😀 nyie jamaa hampo serious kabisa.... Yaani kweli kweli ichi ndio kitu cha kuja kujisifia mbele ya watanzania? 😀 😀 nipo post office hapa nasubiri kupokea mzigo wangu wa mbavu mpya mana zangu mshazivunja....Mshamba kutoka dar.