It’s time for Tabata, sio Sinza,sio Kinondoni. Njoo Tabata kwa wala bata

Weeh
Aisee kitambaa cheupe wanapiga wapi nawakubali sana
Ni jina tu...ni bar ya mtoto wa king Kiki alieimba Wimbo wa kitambaa cheupe anaitwa jesca kikumbi...mtoto wa Mzee kikumbi
 
Ila ni kweli Tabata imehamia Sinza. Naona hata Dully Sykes enzi hizo za kilele cha classic Bongo Fleva alikuwaga Sinza ila siku hizi kahamishia studio Tabata Kimanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…