It's time to Tanzanians say thank you Samatta - Mchezaji wa kimataifa acheza kama mwanandondo cup

Jf,
Salaam!

Huwa tunasema sana siasa - lkn leo tuseme sana mpira. Sijafahamu hitaji la wachezaji wa kitanzania - sijafahamu hitaji la kocha wa timu yetu ya taifa.

* How come mchezaji wa kimataifa kama Samatta atoke uwanjani bila shuti la golini au nje ya goli?

* How come mchezaji kama Kibu D aruhusu kupokwa mpira afu afukuze mchezaji kwa nyuma ashindwe hata kufanya faulo ili mpira utengwe?

Soma Pia: Full Time: Tanzania 0- 2 DR Congo | Qualification AFCON 2025 | Benjamin Mkapa Stadium | 15 Oktoba, 2024

* How come kocha afanye Sub ya Mwamnyeto (mlimzi) badala ya kuongeza washambuliaji mbele?

Timu ya Taifa inaboa sana - time to say that you kwa baadhi ya wachezaji
Tatizo hujalibaini.
Mechi ya Simba Na Yanga ndio iliyopelekea tufungwe. Wachezaji wametunza nguvu kwalo
 
Samata hana tatizo, Shida tuliyonayo hatuna mchezaji anaye weza kucheza nusu ya uwezo wa uyu Samata ambaye anaonekana ame choka.
 
Mi sionagi Tatizo la samatta!! Tatizo hatuna kocha na watu timu ya Taifa tunaitana kwa udini sana! Pasipo kuzingatia dini ( sio kwa ubaya lakn kwanini wote wawe Muslim) mi sio mfia dini ni Maoni tu
 
Jf,
Salaam!

Huwa tunasema sana siasa - lkn leo tuseme sana mpira. Sijafahamu hitaji la wachezaji wa kitanzania - sijafahamu hitaji la kocha wa timu yetu ya taifa.

* How come mchezaji wa kimataifa kama Samatta atoke uwanjani bila shuti la golini au nje ya goli?

* How come mchezaji kama Kibu D aruhusu kupokwa mpira afu afukuze mchezaji kwa nyuma ashindwe hata kufanya faulo ili mpira utengwe?

Soma Pia: Full Time: Tanzania 0- 2 DR Congo | Qualification AFCON 2025 | Benjamin Mkapa Stadium | 15 Oktoba, 2024

* How come kocha afanye Sub ya Mwamnyeto (mlimzi) badala ya kuongeza washambuliaji mbele?

Timu ya Taifa inaboa sana - time to say that you kwa baadhi ya wachezaji
Samatta alishajiishia kitambo sana huyo, hata krosi tu inamshinda.
 
kumponda samatta ni ujinga sana
nashangaa sana mtu anae mponda samata na kwenda kumsifia feisali ni ujinga
 
Jf,
Salaam!

Huwa tunasema sana siasa - lkn leo tuseme sana mpira. Sijafahamu hitaji la wachezaji wa kitanzania - sijafahamu hitaji la kocha wa timu yetu ya taifa.

* How come mchezaji wa kimataifa kama Samatta atoke uwanjani bila shuti la golini au nje ya goli?

* How come mchezaji kama Kibu D aruhusu kupokwa mpira afu afukuze mchezaji kwa nyuma ashindwe hata kufanya faulo ili mpira utengwe?

Soma Pia: Full Time: Tanzania 0- 2 DR Congo | Qualification AFCON 2025 | Benjamin Mkapa Stadium | 15 Oktoba, 2024

* How come kocha afanye Sub ya Mwamnyeto (mlimzi) badala ya kuongeza washambuliaji mbele?

Timu ya Taifa inaboa sana - time to say that you kwa baadhi ya wachezaji
Ktk utumishi wake wore timu ya Taifa hujawahi kuona Mazuri yake?

Acha. ucha MBUZI was kishabiki
 
Hukuangalia mpira halafu unakuja na chuki zako kwa Samatta. Mechi dhidi ya Kongo jamaa kacheza sana, sijui ulitaka afanyeje. Uwanjani alicheza peke yake. Hiyo pasi ya kupiga shuti golini aliipata? Timu yetu bado, tunajitutumua tu.
Baba una kichwa kizito saaana. Hiyo ilikuwa ni reply kwa aliyetoa mada.
 
PUNGUZA CHUKI KWA UISLAM
Mi mwenyew Muislam mzee!! ila Kuna watu nawaelewa linapokuja suala la ubaguzi, hii sio kwa Muislm tu ni din nying wapo hivyoo!! Nimezungumzia ubaguzi wake kwa kulenga Dini yake! Halafu hio hutokea personal tuu si wote wenye kasumba hio
 
Wengine wikend wanacheza na Man City, wengine Kitayose. Timu nzim mchezaji mwenye profile kubwa mmoja tu. Nusu ya kikosi ni mabench warmer kwenye timu zao. Mnataka mfanane?

Kule anachezeshwa na viungo wamecheza hadi michuano ya UEFA huku anacheza na kina Kibu.

Nafikiri kuwa Mtanzania inatosha sio lazima uwe mpumbavu pia.
 
Sisi tuendelee kuwasifia wakina Azizi k, max, Diara na wengine. Hayo ndio tunayoyaweza.

Local players wengi quality mbovu. Samatta ni scapegoat tu...hawakubali ukweli.
 
Back
Top Bottom