It's time to Tanzanians say thank you Samatta - Mchezaji wa kimataifa acheza kama mwanandondo cup

It's time to Tanzanians say thank you Samatta - Mchezaji wa kimataifa acheza kama mwanandondo cup

Jf,
Salaam!

Huwa tunasema sana siasa - lkn leo tuseme sana mpira. Sijafahamu hitaji la wachezaji wa kitanzania - sijafahamu hitaji la kocha wa timu yetu ya taifa.

* How come mchezaji wa kimataifa kama Samatta atoke uwanjani bila shuti la golini au nje ya goli?

* How come mchezaji kama Kibu D aruhusu kupokwa mpira afu afukuze mchezaji kwa nyuma ashindwe hata kufanya faulo ili mpira utengwe?

Soma Pia: Full Time: Tanzania 0- 2 DR Congo | Qualification AFCON 2025 | Benjamin Mkapa Stadium | 15 Oktoba, 2024

* How come kocha afanye Sub ya Mwamnyeto (mlimzi) badala ya kuongeza washambuliaji mbele?

Timu ya Taifa inaboa sana - time to say that you kwa baadhi ya wachezaji
Timu yenyewe selection za aja u Sasa wee uliona wapi golikipa namba tatu kwa club yake anakuwa national team gk namba Moja?
 
Samata hamna kitu pale me nasemaga Kila mara jua lilizama kitambo. akina shafiih dauda ndo Kila kukicha wanampamba pamba tu nadhani huenda kuna 10 percent wanapata kutoka kwake

Samata asiitwe Tena!
Mashabiki bwana asipo itwa ahh samatta muhimu akika ah jamaa hajitumi.
Hivi wee ulaya unalipwa million 50 kwa wiki uje kwenye national team ilikuwa na mizengwe utajituma kweli. Ata wewe ungefa ya kama samatta tuu
 
Mi mwenyew Muislam mzee!! ila Kuna watu nawaelewa linapokuja suala la ubaguzi, hii sio kwa Muislm tu ni din nying wapo hivyoo!! Nimezungumzia ubaguzi wake kwa kulenga Dini yake! Halafu hio hutokea personal tuu si wote wenye kasumba hio
PUNGUZA CHUKI ACHA NGONJERA
 
Back
Top Bottom