Doto Dotto
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 3,906
- 2,902
Fafanua MKUU.Tatizo Swala kazaliwa kwenye ukoo wa mbuzi
For sure kabisa aiseLINDA FURAHA YAKO USIWEKEZE MATUMAINI YAKO KWENYE KICHWA CHA MWENDAWAZIMU..
HUZUNI ZINAZO EPUKIKA DON'T YOU🤣🤣😂😂
Tatizo hujalibaini.Jf,
Salaam!
Huwa tunasema sana siasa - lkn leo tuseme sana mpira. Sijafahamu hitaji la wachezaji wa kitanzania - sijafahamu hitaji la kocha wa timu yetu ya taifa.
* How come mchezaji wa kimataifa kama Samatta atoke uwanjani bila shuti la golini au nje ya goli?
* How come mchezaji kama Kibu D aruhusu kupokwa mpira afu afukuze mchezaji kwa nyuma ashindwe hata kufanya faulo ili mpira utengwe?
Soma Pia: Full Time: Tanzania 0- 2 DR Congo | Qualification AFCON 2025 | Benjamin Mkapa Stadium | 15 Oktoba, 2024
* How come kocha afanye Sub ya Mwamnyeto (mlimzi) badala ya kuongeza washambuliaji mbele?
Timu ya Taifa inaboa sana - time to say that you kwa baadhi ya wachezaji
Ni lini Tanzania imeshinda comfortably ??Tanzania ikifungwa tatizo lipo kwa samatta , Watanzani wengine ni wapumbavu saana.
Unaweza MATUMAINI YAKO KWENYE hamna.For sure kabisa aise
Samatta alishajiishia kitambo sana huyo, hata krosi tu inamshinda.Jf,
Salaam!
Huwa tunasema sana siasa - lkn leo tuseme sana mpira. Sijafahamu hitaji la wachezaji wa kitanzania - sijafahamu hitaji la kocha wa timu yetu ya taifa.
* How come mchezaji wa kimataifa kama Samatta atoke uwanjani bila shuti la golini au nje ya goli?
* How come mchezaji kama Kibu D aruhusu kupokwa mpira afu afukuze mchezaji kwa nyuma ashindwe hata kufanya faulo ili mpira utengwe?
Soma Pia: Full Time: Tanzania 0- 2 DR Congo | Qualification AFCON 2025 | Benjamin Mkapa Stadium | 15 Oktoba, 2024
* How come kocha afanye Sub ya Mwamnyeto (mlimzi) badala ya kuongeza washambuliaji mbele?
Timu ya Taifa inaboa sana - time to say that you kwa baadhi ya wachezaji
Ktk utumishi wake wore timu ya Taifa hujawahi kuona Mazuri yake?Jf,
Salaam!
Huwa tunasema sana siasa - lkn leo tuseme sana mpira. Sijafahamu hitaji la wachezaji wa kitanzania - sijafahamu hitaji la kocha wa timu yetu ya taifa.
* How come mchezaji wa kimataifa kama Samatta atoke uwanjani bila shuti la golini au nje ya goli?
* How come mchezaji kama Kibu D aruhusu kupokwa mpira afu afukuze mchezaji kwa nyuma ashindwe hata kufanya faulo ili mpira utengwe?
Soma Pia: Full Time: Tanzania 0- 2 DR Congo | Qualification AFCON 2025 | Benjamin Mkapa Stadium | 15 Oktoba, 2024
* How come kocha afanye Sub ya Mwamnyeto (mlimzi) badala ya kuongeza washambuliaji mbele?
Timu ya Taifa inaboa sana - time to say that you kwa baadhi ya wachezaji
Hukuangalia mpira halafu unakuja na chuki zako kwa Samatta. Mechi dhidi ya Kongo jamaa kacheza sana, sijui ulitaka afanyeje. Uwanjani alicheza peke yake. Hiyo pasi ya kupiga shuti golini aliipata? Timu yetu bado, tunajitutumua tu.
Baba una kichwa kizito saaana. Hiyo ilikuwa ni reply kwa aliyetoa mada.Hukuangalia mpira halafu unakuja na chuki zako kwa Samatta. Mechi dhidi ya Kongo jamaa kacheza sana, sijui ulitaka afanyeje. Uwanjani alicheza peke yake. Hiyo pasi ya kupiga shuti golini aliipata? Timu yetu bado, tunajitutumua tu.
PUNGUZA CHUKI KWA UISLAMMi sionagi Tatizo la samatta!! Tatizo hatuna kocha na watu timu ya Taifa tunaitana kwa udini sana! Pasipo kuzingatia dini ( sio kwa ubaya lakn kwanini wote wawe Muslim) mi sio mfia dini ni Maoni tu
Mi mwenyew Muislam mzee!! ila Kuna watu nawaelewa linapokuja suala la ubaguzi, hii sio kwa Muislm tu ni din nying wapo hivyoo!! Nimezungumzia ubaguzi wake kwa kulenga Dini yake! Halafu hio hutokea personal tuu si wote wenye kasumba hioPUNGUZA CHUKI KWA UISLAM
Sisi tuendelee kuwasifia wakina Azizi k, max, Diara na wengine. Hayo ndio tunayoyaweza.Wengine wikend wanacheza na Man City, wengine Kitayose. Timu nzim mchezaji mwenye profile kubwa mmoja tu. Nusu ya kikosi ni mabench warmer kwenye timu zao. Mnataka mfanane?
Kule anachezeshwa na viungo wamecheza hadi michuano ya UEFA huku anacheza na kina Kibu.
Nafikiri kuwa Mtanzania inatosha sio lazima uwe mpumbavu pia.