It's time to Tanzanians say thank you Samatta - Mchezaji wa kimataifa acheza kama mwanandondo cup

Timu yenyewe selection za aja u Sasa wee uliona wapi golikipa namba tatu kwa club yake anakuwa national team gk namba Moja?
 
Samata hamna kitu pale me nasemaga Kila mara jua lilizama kitambo. akina shafiih dauda ndo Kila kukicha wanampamba pamba tu nadhani huenda kuna 10 percent wanapata kutoka kwake

Samata asiitwe Tena!
Mashabiki bwana asipo itwa ahh samatta muhimu akika ah jamaa hajitumi.
Hivi wee ulaya unalipwa million 50 kwa wiki uje kwenye national team ilikuwa na mizengwe utajituma kweli. Ata wewe ungefa ya kama samatta tuu
 
Mi mwenyew Muislam mzee!! ila Kuna watu nawaelewa linapokuja suala la ubaguzi, hii sio kwa Muislm tu ni din nying wapo hivyoo!! Nimezungumzia ubaguzi wake kwa kulenga Dini yake! Halafu hio hutokea personal tuu si wote wenye kasumba hio
PUNGUZA CHUKI ACHA NGONJERA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…