John_Anthony
JF-Expert Member
- Mar 27, 2024
- 290
- 460
Walikuwa na akili kubwa sana babu zetu, pia walikuwa na maono makubwa sana, tatizo letu vijana wa kizazi hiki mnapenda kulazimisha 2 + 2 iwe 22, mwanamke ni mwanamke tu, na mwanaume ni mwanaume tu, huwezi kulazimisha mwanamke awe mwanaume, wala huwezi kulazimisha mwanaume awe mwanamke,, mnaharibu vizazi kwa kulazimisha mambo ya ajabu ajabu na kuleta sera za hovyo hovyo 50 by 50 😂Hayo mawazo walikuwa nayo waliokosa ustaarabu Karne nyingi zimeshapita
Mwanamke anaweza kuchukua maamuzi magumu kulingana na hisia zake binafsi wala hawezi kuchukua maamuzi magumu kwa ajili ya raia wote
Kwa kifupi mwanamke hawezi kuishi bila kuongozwa hata kama anaongoza ni lazima na yeye aongozwe tu ndipo aongozwe na maanisha kuwa mwanamke ana uwezo mdogo sana wa kutambua jambo baya au zuri bila kushauriwa,