Pre GE2025 Itungwe sheria inayotoa adhabu dhidi ya wanaomtukana Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wadau hamjamboni nyote?

Nimaoni yangu kwa mujibu wa katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayonipa uhuru huo.

Ipo haja ya kutunga sheria maalumu ya kumlinda moja kwa moja Rais wetu dhidi ya maneno au matamko au kauli zinazokera na zisizo na uthitibitisho wowote

Naam sheria itakayotoa adhabu kali kwa wote watakaotumia vibaya uhuru wao wa kidemokrasia na kuamua kutoa kauli zisizokubalika dhidi ya Kiongozi wetu Mkuu.

Tutunge sheria hiyo mapema ili watu wasio na staha wajifunze kuwa na staha kwa kushikishwa adabu na sheria kali.

Ikiwezekana kuwepo pia na kikosi kazi maalumu kufuatilia utekelezaji wa sheria hiyo.

Ukienda Rwanda au Uganda huthubutu kutoa ulimi wako nje dhidi ya Rais kwani ni mamlaka ya juu kabisa ya nchi.

Tufanye hivyo mapema.
Kama ni kutukana matusi Sheria mbona ipo?

Au unataka nini mkuu??
 
jibuni hoja achaneni na huu ujinga wwa kutunga sheria!JIBUNI HOJA TU INATOSHA
 
Wadau hamjamboni nyote?

Nimaoni yangu kwa mujibu wa katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayonipa uhuru huo.

Ipo haja ya kutunga sheria maalumu ya kumlinda moja kwa moja Rais wetu dhidi ya maneno au matamko au kauli zinazokera na zisizo na uthitibitisho wowote

Naam sheria itakayotoa adhabu kali kwa wote watakaotumia vibaya uhuru wao wa kidemokrasia na kuamua kutoa kauli zisizokubalika dhidi ya Kiongozi wetu Mkuu.

Tutunge sheria hiyo mapema ili watu wasio na staha wajifunze kuwa na staha kwa kushikishwa adabu na sheria kali.

Ikiwezekana kuwepo pia na kikosi kazi maalumu kufuatilia utekelezaji wa sheria hiyo.

Ukienda Rwanda au Uganda huthubutu kutoa ulimi wako nje dhidi ya Rais kwani ni mamlaka ya juu kabisa ya nchi.

Tufanye hivyo mapema.
Kwani yeye hatutukani sisi? Katudharau na kutuona ng'ombe. Anastahili kutukanwa pia. Wanachokifanya DP W bandarini ni matusi kwa watanzania.
 
Sema atakayemtukana mtu yeyote
Najua sheria itakuwepo.

Pia Rais kama kiongozi mkuu huwezi kumtukana pia
 
Wadau hamjamboni nyote?

Nimaoni yangu kwa mujibu wa katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayonipa uhuru huo.

Ipo haja ya kutunga sheria maalumu ya kumlinda moja kwa moja Rais wetu dhidi ya maneno au matamko au kauli zinazokera na zisizo na uthitibitisho wowote

Naam sheria itakayotoa adhabu kali kwa wote watakaotumia vibaya uhuru wao wa kidemokrasia na kuamua kutoa kauli zisizokubalika dhidi ya Kiongozi wetu Mkuu.

Tutunge sheria hiyo mapema ili watu wasio na staha wajifunze kuwa na staha kwa kushikishwa adabu na sheria kali.

Ikiwezekana kuwepo pia na kikosi kazi maalumu kufuatilia utekelezaji wa sheria hiyo.

Ukienda Rwanda au Uganda huthubutu kutoa ulimi wako nje dhidi ya Rais kwani ni mamlaka ya juu kabisa ya nchi.

Tufanye hivyo mapema.
Watu tunataka sheria ya kumpunguzia Rais madaraka na kisha tutunge sheria ya kumshitaki na kumfunga kama akifanya ujinga kama huu wa kuuza Ngorongoro na kuwapa wajomba zake misitu na bandari za Tanganyika.
 
Na UVCCM waache kuwatengenezea kashfa Wazee ambao wengine wanalingana na Babu zao au Baba zao 👁😷 ,
Siasa sio uadui 👁🫀🫀👁🫵
 
Sema atakayemtukana mtu yeyote
Najua sheria itakuwepo.

Pia Rais kama kiongozi mkuu huwezi kumtukana pia
Kila binadamu anastahili heshima ya Ubinadamu wake ,

Awe ni hohe hahe au ni kibopa anastahili heshima ya kutokutukanwa au kukashifiwa. 👁

Usichopenda kufanyiwa wewe usimfanyie mwingine !

HERI WALE WENYE MOYO SAFI KWA MAANA WATAUONA UFALME WA MBINGUNI 👁🫀🫀👁😷🙏🙏
 
Njia nzuri ya kuepuka lugha zisizo na staha ni viongozi wetu kuwa wawajibikaji Kwa kutenda haki maana wanakula Kodi zetu wananchi.Sasa wewe rais inaenda ulaya kilasiku na hakuna tunachofaidika hapo lazima uchukiwe tu.au unafukuza watu kwenye ardhi zao na kumilikisha waarabu kisa tu waarabu ni wajomba wako hapo lazima watu wakuseme vibaya.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Nimaoni yangu kwa mujibu wa katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayonipa uhuru huo.

Ipo haja ya kutunga sheria maalumu ya kumlinda moja kwa moja Rais wetu dhidi ya maneno au matamko au kauli zinazokera na zisizo na uthitibitisho wowote

Naam sheria itakayotoa adhabu kali kwa wote watakaotumia vibaya uhuru wao wa kidemokrasia na kuamua kutoa kauli zisizokubalika dhidi ya Kiongozi wetu Mkuu.

Tutunge sheria hiyo mapema ili watu wasio na staha wajifunze kuwa na staha kwa kushikishwa adabu na sheria kali.

Ikiwezekana kuwepo pia na kikosi kazi maalumu kufuatilia utekelezaji wa sheria hiyo.

Ukienda Rwanda au Uganda huthubutu kutoa ulimi wako nje dhidi ya Rais kwani ni mamlaka ya juu kabisa ya nchi.

Tufanye hivyo mapema.

Sasa kama hakuna hiyo sheria waliofungwa kwa makosa ya kumtukana Rais wamefungwa kwa sheria gani ....!!?
 
Tatizo letu siyo sheria ila Usimamizi wa sheria. Nina hakika hata sheria zilizopo haziruhusu Rais kutukanwa, Mimi nadhani tuweke udhati tu kwenye Usimamizi wa sheria zetu ikiwemo ile ya Cybercrime.
Sheria hairuhusu mtu yeyote kutukanwa
👁😷🫀
 
Tatizo letu siyo sheria ila Usimamizi wa sheria. Nina hakika hata sheria zilizopo haziruhusu Rais kutukanwa, Mimi nadhani tuweke udhati tu kwenye Usimamizi wa sheria zetu ikiwemo ile ya Cybercrime.
Mkuu umenena vyema; na hasa hasa hizi sheria za Uchaguzi Mkuu, maana akipatikana kiongozi aliye chaguliwa na WANANCHI kihalali kabisa, hawezi kupata misukosuko hii,maana wamemwamini na wana mfahamu tabia na nyenendo zake. Ukiona Kiongozi ana tetwatetwa, kubuguziwa ama kusemwa ndivyo sivyo, basi huyo ushindi wake unawalakini.
 
Mimi naona ni sawa, tcra waangalie matusi ya nguoni hayafai,akosolewe kwa stara... mbona Bob risk alifungwa kwa kukanyaga pesa ya Nigeria...lazima heshima iwepo..
 
omba katiba mpya sasa mkuu kiwepo hicho kifungu chako cha uchawa pia itamkwe wazi rais anaweza kushitakiwa , kufungwa pingu , kukaa selo kuchapwa viboko kumi na mbili kunyongwa mpaka kufa au vyote kwa pamoja ikiwa itathibitika alivunja katiba ya nchi kipindi cha utawala wake
 
Wadau hamjamboni nyote?

Nimaoni yangu kwa mujibu wa katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayonipa uhuru huo.

Ipo haja ya kutunga sheria maalumu ya kumlinda moja kwa moja Rais wetu dhidi ya maneno au matamko au kauli zinazokera na zisizo na uthitibitisho wowote

Naam sheria itakayotoa adhabu kali kwa wote watakaotumia vibaya uhuru wao wa kidemokrasia na kuamua kutoa kauli zisizokubalika dhidi ya Kiongozi wetu Mkuu.

Tutunge sheria hiyo mapema ili watu wasio na staha wajifunze kuwa na staha kwa kushikishwa adabu na sheria kali.

Ikiwezekana kuwepo pia na kikosi kazi maalumu kufuatilia utekelezaji wa sheria hiyo.

Ukienda Rwanda au Uganda huthubutu kutoa ulimi wako nje dhidi ya Rais kwani ni mamlaka ya juu kabisa ya nchi.

Tufanye hivyo mapema.
Sheria sio tatizo bali tafsiri ya sheria. Hiyo sheria ikitungwa tafsiri yake mahakamani itawafunga wengi, na itatumika kama fimbo ya kuwanyoosha wale wote wanaopingana na Rais hata katika masuala ya msingi.

Na pia, matusi ni nini? Kuna aina ngapi za matusi? Tunaweza kuyaorodhesha yote katika sheria ili watu wahukumiwe kwa haki?
 
Wadau hamjamboni nyote?

Nimaoni yangu kwa mujibu wa katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayonipa uhuru huo.

Ipo haja ya kutunga sheria maalumu ya kumlinda moja kwa moja Rais wetu dhidi ya maneno au matamko au kauli zinazokera na zisizo na uthitibitisho wowote

Naam sheria itakayotoa adhabu kali kwa wote watakaotumia vibaya uhuru wao wa kidemokrasia na kuamua kutoa kauli zisizokubalika dhidi ya Kiongozi wetu Mkuu.

Tutunge sheria hiyo mapema ili watu wasio na staha wajifunze kuwa na staha kwa kushikishwa adabu na sheria kali.

Ikiwezekana kuwepo pia na kikosi kazi maalumu kufuatilia utekelezaji wa sheria hiyo.

Ukienda Rwanda au Uganda huthubutu kutoa ulimi wako nje dhidi ya Rais kwani ni mamlaka ya juu kabisa ya nchi.

Tufanye hivyo mapema.
Kabla ya kufikiria hilo pendekezo lako, tuwe kwanza na mfumo wa haki wa kumpata rais. Uchaguzi huru na wa haki wa kumpata rais wa wapiga kura na siyo wa mfumo.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Nimaoni yangu kwa mujibu wa katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayonipa uhuru huo.

Ipo haja ya kutunga sheria maalumu ya kumlinda moja kwa moja Rais wetu dhidi ya maneno au matamko au kauli zinazokera na zisizo na uthitibitisho wowote

Naam sheria itakayotoa adhabu kali kwa wote watakaotumia vibaya uhuru wao wa kidemokrasia na kuamua kutoa kauli zisizokubalika dhidi ya Kiongozi wetu Mkuu.

Tutunge sheria hiyo mapema ili watu wasio na staha wajifunze kuwa na staha kwa kushikishwa adabu na sheria kali.

Ikiwezekana kuwepo pia na kikosi kazi maalumu kufuatilia utekelezaji wa sheria hiyo.

Ukienda Rwanda au Uganda huthubutu kutoa ulimi wako nje dhidi ya Rais kwani ni mamlaka ya juu kabisa ya nchi.

Tufanye hivyo mapema.

Hili suala la uhuru wa kujieleza lina utata sana,
lakini pia kuhusu heshima ya kiongozi inajengwa na yeye mwenyewe, huwezi kuzuia watu kusema lakini ni namna gani wa muongelee huyo kiongozi hilo ni juu yake mwenyewe kulingana na anayo yafanya,, kwa kifupi mimi siungi mkono hiyo hoja 🤔

Heshima haitafutwi kwa nguvu,, ukitumia nguvu wataogopa tu lakini wataendelea kutukana kwenye mioyo yao, Msingi mkubwa wa kiongozi kuwa bora ni pamoja na kuipata mioyo ya watu wake na maanisha kumkubali kama kiongozi, kama anafanya jambo zuri yeye aendelee tu kufanya huenda raia bado hawajaelewa ila wakielewa basi watajirekebisha wao wenyewe kikubwa ni uzalendo tu kwa kiongozi sio woga na ubinafsi havifai lazima asemwe tu hata awe mbabe kiasi gani
 
Back
Top Bottom