Pre GE2025 Itungwe sheria inayotoa adhabu dhidi ya wanaomtukana Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wadau hamjamboni nyote?

Nimaoni yangu kwa mujibu wa katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa tanzania inayonipa uhuru huo

Ipo haja ya kutunga sheria maalumu ya kumlinda moja kwa moja Rais wetu dhidi ya maneno au matamko au kauli zinazokera na zisizo na uthitibitisho wowote

Naam sheria itakayotoa adhabu kali kwa wote watakaotumia vibaya uhuru wao wa kidemokrasia na kuamua kutoa kauli zisizokubalika dhidi ya Kiongozi wetu Mkuu

Tutunge sheria hiyo mapema Ili watu wasio na staha wajifunze kuwa na staha kwa kushikishwa adabu na sheria kali

Ikiwezekana kuwepo pia na kikosi kazi maalumu kufuatilia utekelezaji wa sheria hiyo.

Ukienda Rwanda au Uganda huthubutu kutoa ulimi wako nje dhidi ya Rais kwani ni mamlaka ya juu kabisa ya nchi

Tufanye hivyo mapema
🙄🤔
 
Itungwe sheria maalumu yenye adhabu kali Kwa watakaotoa kauli au maneno yasiyo na staha dhidi ya Rais wetu
Hivi rais ni mtumishi wa umma, au umma ndo watumishi wa rais?!

Kwamba rais asikosolewe kabisa, yaani ageuke kuwa mungu wa taifa?

Kama hataki kukosolewa kwanini asijikite kwenye shughuli zake binafsi kama biashara, kilimo, nk.?

Haiwezekani uwe mtumishi wa umma halafu ukatae kukosolewa na wanaokutuma na kukulipa kuwatumikia!
 
Tatizo letu siyo sheria ila Usimamizi wa sheria. Nina hakika hata sheria zilizopo haziruhusu Rais kutukanwa, Mimi nadhani tuweke udhati tu kwenye Usimamizi wa sheria zetu ikiwemo ile ya Cybercrime.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Nimaoni yangu kwa mujibu wa katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa tanzania inayonipa uhuru huo

Ipo haja ya kutunga sheria maalumu ya kumlinda moja kwa moja Rais wetu dhidi ya maneno au matamko au kauli zinazokera na zisizo na uthitibitisho wowote

Naam sheria itakayotoa adhabu kali kwa wote watakaotumia vibaya uhuru wao wa kidemokrasia na kuamua kutoa kauli zisizokubalika dhidi ya Kiongozi wetu Mkuu

Tutunge sheria hiyo mapema Ili watu wasio na staha wajifunze kuwa na staha kwa kushikishwa adabu na sheria kali

Ikiwezekana kuwepo pia na kikosi kazi maalumu kufuatilia utekelezaji wa sheria hiyo.

Ukienda Rwanda au Uganda huthubutu kutoa ulimi wako nje dhidi ya Rais kwani ni mamlaka ya juu kabisa ya nchi

Tufanye hivyo mapema
Wewe unatolea mifano Rwanda na Uganda nchi zenye udikteta? Hauko sawa kichwani wewe , Rais sio mungu elewa hilo msimpe utukufu asio kuwa nao
 
Wadau hamjamboni nyote?

Nimaoni yangu kwa mujibu wa katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa tanzania inayonipa uhuru huo

Ipo haja ya kutunga sheria maalumu ya kumlinda moja kwa moja Rais wetu dhidi ya maneno au matamko au kauli zinazokera na zisizo na uthitibitisho wowote

Naam sheria itakayotoa adhabu kali kwa wote watakaotumia vibaya uhuru wao wa kidemokrasia na kuamua kutoa kauli zisizokubalika dhidi ya Kiongozi wetu Mkuu

Tutunge sheria hiyo mapema Ili watu wasio na staha wajifunze kuwa na staha kwa kushikishwa adabu na sheria kali

Ikiwezekana kuwepo pia na kikosi kazi maalumu kufuatilia utekelezaji wa sheria hiyo.

Ukienda Rwanda au Uganda huthubutu kutoa ulimi wako nje dhidi ya Rais kwani ni mamlaka ya juu kabisa ya nchi

Tufanye hivyo mapema
Machawa mna shida sana. Hivi Rwanda na Uganda Ni nchi za kutolewa mfano jamani Hii tayari inatoa taswira wewe ni mtu wa namna gani?
Yani Uganda and Rwanda ziwe kioo cha TZ umetudharau Sana
Ukiwa Kiongozi utapiga hela Sana Ila kubali kuwa Dustbin
Usipokubali utakufa haraka kama Magufuli
 
Wadau hamjamboni nyote?

Nimaoni yangu kwa mujibu wa katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa tanzania inayonipa uhuru huo

Ipo haja ya kutunga sheria maalumu ya kumlinda moja kwa moja Rais wetu dhidi ya maneno au matamko au kauli zinazokera na zisizo na uthitibitisho wowote

Naam sheria itakayotoa adhabu kali kwa wote watakaotumia vibaya uhuru wao wa kidemokrasia na kuamua kutoa kauli zisizokubalika dhidi ya Kiongozi wetu Mkuu

Tutunge sheria hiyo mapema Ili watu wasio na staha wajifunze kuwa na staha kwa kushikishwa adabu na sheria kali

Ikiwezekana kuwepo pia na kikosi kazi maalumu kufuatilia utekelezaji wa sheria hiyo.

Ukienda Rwanda au Uganda huthubutu kutoa ulimi wako nje dhidi ya Rais kwani ni mamlaka ya juu kabisa ya nchi

Tufanye hivyo mapema

Crap from crippled brain. This is a trash bag.
 
Chawa mleta uzi acha ujinga

Siyo ujinga tu, bali aache uwendawazimu. Lazima akili ya mleta mada imepinda.

Hamna mwenye akili iliyopevuka anaweza kuleta mada ya hivi. Eti matusi au lugha ya kuudhi!! Nani anayeamua kuwa lugha hii ni ya kuudhi au kufurahisha? Mathalani, mtu anayemsifia mtawala kwa sifa za kinafiki na uwongo, ni lugha ya kuudhi kwa wananchi wazalendo. Lakini ni lugha ya kufurahisha kwa mtawala laghai na mpenda sifa.

Ukiwa kiongozi ukashiriki kupora rasilimali na kuwagawia wageni kwa kupitia mikataba ya kishenzi kama ule wa IGA. Wewe utakuwa ni kiongozi ovyo usiye na uzalendo kwa Taifa na watu wako. Ukiambiwa hivyo, itakuwa ni lugha njema na inayestahili dhidi yako, lakini kwako unayeambiwa utaona inaudhi kwa sababu uliamini umma mzima ni wa watu punguani na wanafiki wanaotakiwa kukushangilia hata kwenye uovu.

Kwenye scenario kama hiyo, aliyetukana ni kiongozi ambaye amewaona wananchi hawana akili ya kuhoji hata akifanya uovu dhidi ya Taifa.

"Nchi inahitaji vijana jeuri wenye uwezo wa kuwahoji viongozi, siyo vijana wanafiki wa kuwasifia viongozi kwa kila jambo" - Mwl. Nyerere.
 
Sasa kama ni watu wanamadhaifu yao wasisemwe!

Tutolee ujinga wako mkuu.
utasemwa tu na sio lazima tukuseme kwa staaha tutakusema hata kwa kukutukana ili akili zikukae vuzuri.

Ule pesa zetu ujimilikushe utajiri kwenye jamii maskini et tusikutukane utakuwa unaumwa wewe!
Anadhani watu wote ni wajinga kama yeye
 
Kwani raisi sio mtu wa kawaida kama wengine? Raisi razima aambiwe kwa namna yoyote ile kwani kazi ya uraisi hajarazimishwa kuifanya kaiomba mwenyewe. Nani ya kutumikia wananchi wa kila Aina.
yaani matusi ndiyo sifa? kutoa maoni siyo hoja, hoja ni yale matusi yasiyo na faida. Na hii siyo kwake tu hata kwa watu wa kawaida kwa nini umtolee mtu matusi?

Inaonyesha vijana wa sasa kwa vile wako nyuma ya keyboard basi anajiona ndiyo mfalme na anaweza kutoa tusi lo lote, jee huo ni ustaarabu?
 
Wadau hamjamboni nyote?

Nimaoni yangu kwa mujibu wa katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa tanzania inayonipa uhuru huo

Ipo haja ya kutunga sheria maalumu ya kumlinda moja kwa moja Rais wetu dhidi ya maneno au matamko au kauli zinazokera na zisizo na uthitibitisho wowote

Naam sheria itakayotoa adhabu kali kwa wote watakaotumia vibaya uhuru wao wa kidemokrasia na kuamua kutoa kauli zisizokubalika dhidi ya Kiongozi wetu Mkuu

Tutunge sheria hiyo mapema Ili watu wasio na staha wajifunze kuwa na staha kwa kushikishwa adabu na sheria kali

Ikiwezekana kuwepo pia na kikosi kazi maalumu kufuatilia utekelezaji wa sheria hiyo.

Ukienda Rwanda au Uganda huthubutu kutoa ulimi wako nje dhidi ya Rais kwani ni mamlaka ya juu kabisa ya nchi

Tufanye hivyo mapema
Hayo yakifanyika inatakiwa kinga ya rais kutoshitakiwa iondolewe, maana hii Kinga ndio inamfanya rais kuwa Mungu mtu na kufanya atakavyo kama kuuza bandari nk.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Nimaoni yangu kwa mujibu wa katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa tanzania inayonipa uhuru huo

Ipo haja ya kutunga sheria maalumu ya kumlinda moja kwa moja Rais wetu dhidi ya maneno au matamko au kauli zinazokera na zisizo na uthitibitisho wowote

Naam sheria itakayotoa adhabu kali kwa wote watakaotumia vibaya uhuru wao wa kidemokrasia na kuamua kutoa kauli zisizokubalika dhidi ya Kiongozi wetu Mkuu

Tutunge sheria hiyo mapema Ili watu wasio na staha wajifunze kuwa na staha kwa kushikishwa adabu na sheria kali

Ikiwezekana kuwepo pia na kikosi kazi maalumu kufuatilia utekelezaji wa sheria hiyo.

Ukienda Rwanda au Uganda huthubutu kutoa ulimi wako nje dhidi ya Rais kwani ni mamlaka ya juu kabisa ya nchi

Tufanye hivyo mapema
Pia kwa viongozi wa kitaifa wanaosema uongo ama kujitoa ufahamu, kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kuogopa viongozi wao na kutumikia kundi Fulani Bila kujali masilahi ya Taifa,(conflict of interest)
 
Back
Top Bottom