Pre GE2025 Itungwe sheria inayotoa adhabu dhidi ya wanaomtukana Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wadau hamjamboni nyote?

Nimaoni yangu kwa mujibu wa katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa tanzania inayonipa uhuru huo

Ipo haja ya kutunga sheria maalumu ya kumlinda moja kwa moja Rais wetu dhidi ya maneno au matamko au kauli zinazokera na zisizo na uthitibitisho wowote

Naam sheria itakayotoa adhabu kali kwa wote watakaotumia vibaya uhuru wao wa kidemokrasia na kuamua kutoa kauli zisizokubalika dhidi ya Kiongozi wetu Mkuu

Tutunge sheria hiyo mapema Ili watu wasio na staha wajifunze kuwa na staha kwa kushikishwa adabu na sheria kali

Ikiwezekana kuwepo pia na kikosi kazi maalumu kufuatilia utekelezaji wa sheria hiyo.

Ukienda Rwanda au Uganda huthubutu kutoa ulimi wako nje dhidi ya Rais kwani ni mamlaka ya juu kabisa ya nchi

Tufanye hivyo mapema
Wasemwe kwa kauli zilizo na staha na siyo karaha
 
Baada ya kutunga hiyo sheria, nani atakeyeamua ipi ni hoja lipi ni tusi? Ukilinganisha nchi imejaa upumbavu wa wazi kabisa?

Kusimamia nani anasema nini ni kitu kisichowezekana, especially kwa public figure. Na hiyo sheria itakuwa ni kupoteza muda na resources nyingine muhimu bila matunda chanya yoyote kwenye nchi. Kwa maneno mengine, itakuwa ni moja ya Upumbavu ninaoungelea.
Hayo tote yatazingatiwa wakati wa utungaji na utekelezaji sheria husika
 
Kwani raisi sio mtu wa kawaida kama wengine? Raisi razima aambiwe kwa namna yoyote ile kwani kazi ya uraisi hajarazimishwa kuifanya kaiomba mwenyewe. Nani ya kutumikia wananchi wa kila Aina.
Rais ni mtu wa kawaida ila ni Kiongozi Mkuu wa taasisi ya juu kabisa nchini
 
Wadau hamjamboni nyote?

Nimaoni yangu kwa mujibu wa katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa tanzania inayonipa uhuru huo

Ipo haja ya kutunga sheria maalumu ya kumlinda moja kwa moja Rais wetu dhidi ya maneno au matamko au kauli zinazokera na zisizo na uthitibitisho wowote

Naam sheria itakayotoa adhabu kali kwa wote watakaotumia vibaya uhuru wao wa kidemokrasia na kuamua kutoa kauli zisizokubalika dhidi ya Kiongozi wetu Mkuu

Tutunge sheria hiyo mapema Ili watu wasio na staha wajifunze kuwa na staha kwa kushikishwa adabu na sheria kali

Ikiwezekana kuwepo pia na kikosi kazi maalumu kufuatilia utekelezaji wa sheria hiyo.

Ukienda Rwanda au Uganda huthubutu kutoa ulimi wako nje dhidi ya Rais kwani ni mamlaka ya juu kabisa ya nchi

Tufanye hivyo mapema
Upumbavu ni kama vazi halijifichi alisema Mwl Nyerere
 
Sheria zipo, unless kama hujui. Sheria za kutoa adhabu kumkashifu mtu zipo. Kama mhusika anadai kukashfiwa aende mahakamani
 
Wadau hamjamboni nyote?

Nimaoni yangu kwa mujibu wa katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa tanzania inayonipa uhuru huo

Ipo haja ya kutunga sheria maalumu ya kumlinda moja kwa moja Rais wetu dhidi ya maneno au matamko au kauli zinazokera na zisizo na uthitibitisho wowote

Naam sheria itakayotoa adhabu kali kwa wote watakaotumia vibaya uhuru wao wa kidemokrasia na kuamua kutoa kauli zisizokubalika dhidi ya Kiongozi wetu Mkuu

Tutunge sheria hiyo mapema Ili watu wasio na staha wajifunze kuwa na staha kwa kushikishwa adabu na sheria kali

Ikiwezekana kuwepo pia na kikosi kazi maalumu kufuatilia utekelezaji wa sheria hiyo.

Ukienda Rwanda au Uganda huthubutu kutoa ulimi wako nje dhidi ya Rais kwani ni mamlaka ya juu kabisa ya nchi

Tufanye hivyo mapema
Raisi yupi na sisi tulio wengi tunachagua raisi wetu anashinda uchaguzi hatangzwii kama maalim seif. vipi hiyo Sheria itatufiikiria pia

Namaanisha kati nchi ambayo mifumo ya uchaguzi imevurugwa

Kunakuwa naaraisi wengi, Kuna yule alitangazwa na Dola na yule aliyeshinda kihalali kama mh tundu Lisu.
Sheria yako itamuhusu nani?
 
Wasemwe kwa kauli zilizo na staha na siyo karaha

Hapana. Unachokisema siyo sahihi.
Anayekosea anastahili kuambiwa hata kwa lugha kali. Hubembelezwi ukikosewa.

Biblia inasema unapotakiwa kuonya, onya hata kwa ukali.

Kiongozi siyo malaika, anaweza kukosea, anaweza kuwa mwovu kupindukia kuwazidi hata majambazi. Ndiyo maana kuna viongozi wanaondolewa kwenye madaraka bila staha, wanashitakiwa, na kuna wengine wanahukumiwa hata kunyongwa hadi kufa.

Hivyo, tunatakiwa kuangalia kauli na vitendo vya Rais ili kutambua tuna kiongozi wa namna gani, na kisha kumpongeza, kumuonya, kumkosoa au hata kumfukuza kwenye uongozi kwa njia yoyote yenye tija kwa nchi.
 
Back
Top Bottom