Pre GE2025 Itungwe sheria inayotoa adhabu dhidi ya wanaomtukana Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hayo mawazo walikuwa nayo waliokosa ustaarabu Karne nyingi zimeshapita
Walikuwa na akili kubwa sana babu zetu, pia walikuwa na maono makubwa sana, tatizo letu vijana wa kizazi hiki mnapenda kulazimisha 2 + 2 iwe 22, mwanamke ni mwanamke tu, na mwanaume ni mwanaume tu, huwezi kulazimisha mwanamke awe mwanaume, wala huwezi kulazimisha mwanaume awe mwanamke,, mnaharibu vizazi kwa kulazimisha mambo ya ajabu ajabu na kuleta sera za hovyo hovyo 50 by 50 😂
Mwanamke anaweza kuchukua maamuzi magumu kulingana na hisia zake binafsi wala hawezi kuchukua maamuzi magumu kwa ajili ya raia wote
Kwa kifupi mwanamke hawezi kuishi bila kuongozwa hata kama anaongoza ni lazima na yeye aongozwe tu ndipo aongozwe na maanisha kuwa mwanamke ana uwezo mdogo sana wa kutambua jambo baya au zuri bila kushauriwa,
 
Tatizo letu siyo sheria ila Usimamizi wa sheria. Nina hakika hata sheria zilizopo haziruhusu Rais kutukanwa, Mimi nadhani tuweke udhati tu kwenye Usimamizi wa sheria zetu ikiwemo ile ya Cybercrime.
kwann mnatizama yeye kutukanwa na sio kutimiza wajibu wake ? asipotukanwa nchi itanufaikaj ? je akitimiza wajibu wake nchi itanufaikaj ?
bado watu weusi mna akili kama za wanyama , hamjui mnataka nini ! kwenye ndio mnasema hapana na kwenye hapana mnasema ndio

Yaan hii ngoz kama kuna exchange ni bora nibadili maana watu mnatutia aibu sana
 
KUSIFIWA na KUKOSOLEWA/TUKANWA ni sawa na usiku na mchana huwa haviachani.

Ukisikia raha ya kusifiwa jiandae na uchungu wa kutukanwa...hakuna namna!
 
Wasemwe kwa kauli zilizo na staha na siyo karaha
kwann wao wanaua wamasai bila lugha za staha ? kati ya tusi na kuua kipi kibaya zaid kwenye jamii ?
chunga watu wa kuwashimu

yaan unaua mwizi wa iphone ya 1M ila unamyetea mwizi wa mabillioni
watu weusi kuna namna hamjakamilika kwenye uumbaj has upande wa akili
 
mwizi wa tv ya 500k mnamuua ila huyu kiongoz na mlinda wezi wa mabillioni ndo mnataka atungiwe na sheria ya kumlinda ila watu weusi mnatia aibu kwakwel , utumwa na athari za ukoloni bado zipo vichwani mwenu , mpo radhi kumuabudu kabisa rais ili mpatae vitengo
 
kwamba wewe kutukanwa ni sawa ila rais asitukanwe ? sidhan kama hata D mbili ulipata wewe
Mimi naona ni sawa, tcra waangalie matusi ya nguoni hayafai,akosolewe kwa stara... mbona Bob risk alifungwa kwa kukanyaga pesa ya Nigeria...lazima heshima iwepo..
 
mtoa maada anamapungufu makubwa na hasara ya kwanza ktk hii nchi ni hii takataka iliyotoa maada
 
Ningekuona wa maana ungesema itungwe sheria kuwalinda wanyonge, wajane, wajawazito, makundi maalum, wananchi masikini n.k kumbe unazungumzia watu wanaovaa saa za milioni 100??
 
Rais ni mtu wa kawaida ila ni Kiongozi Mkuu wa taasisi ya juu kabisa nchini
Heshima Ina pandwa kama vile mazao. Raisi akitaka kuheshimiwa basi aipanda hiyo hiyo heshima. Raisi ambaye amepatikana kwa wizi, raisi ambaye anauza rasirmali za wananchi bila kuwashirikisha, raisi mla rushwa unataka wapewe heshima na wananchi anao watesa? Yaani hiyo nisawa na kumwambia mtu aheshimu vibaka wanao Iba kuku wake bandani.
 
Matusi ni nini?
 
Tatizo la ma CCM huwa yanafikiri Rais atakuwa wa CCM milele.

Kingine hawajui kutenganisha matusi na maneno yanayokera.

Kwa mfano mtu akisema " Ni mama gani anaweza kuuza unga ndani huku akijua wanaye walalanja njaa siku moja? - sasa wao hili ni tusi.
 
kwamba wewe kutukanwa ni sawa ila rais asitukanwe ? sidhan kama hata D mbili ulipata wewe
Kama sikupata D mbili inakusaidia nini Fala tu wewe, wewe na Rais ni sawa? Hujui yule anarepresent nchi, akitukanwq nchi imetukanwa...
 
Cc: Lucas
 
Hakuna tusi katika Dunia hii, Bali yote ni maneno. Mtu mwizi akiambiwa kuwa yeye ni kibaka Hilo sio tusi. Mti katili na mjinga kama mwendazake akiitwa mjinga, katili, mashamba, dictator, jambazi bado hayo sio matusi Bali ni maneno ya kuelezea wasifu wa mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…