ITV badilikeni

ITV badilikeni

MUTUYAMUNGU

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
1,825
Reaction score
4,374
IMG_20211124_183223_773.JPG
Habari kama hii hata uwena degree kutoka Jalalani University huwezi kuielewa.
 
Kuisumarize story ya kimahakama mwandishi kama siyo mwanasheria au wakili akuandalie script ni ngumu
 
Kweli mkuu. Sasa hapo habari ipo nusu. Kwanini shahidi ameshindwa kuendelea? Hawajasema.
 
Shahidi ameyakumbuka mamilioni yake, uchungu umemshikaa hadi ameshindwa kuendelea kutoa ushahidi[emoji1787]

Hamjaelewa Nini Sasa nyie vilaza[emoji13]
 
Editor atoke wapi tena? Editor hawezi kutoka sayari nyingine. Editor ndio sisi hawa hawa tunaoandika xaxa badala ya sasa, cmu badala ya simu... Tumekuwa nchi ya wajinga. Kiswahili hatuwezi, Kiingereza hatuwezi na lugha za makabila yetu zinaondoka na babu na bibi zetu.
Editors mpo wapi? Au mnawaachia tu wahuni wajipostie?
 
Editor atoke wapi tena? Editor hawezi kutoka sayari nyingine. Editor ndio sisi hawa hawa tunaoandika xaxa badala ya sasa, cmu badala ya simu... Tumekuwa nchi ya wajinga. Kiswahili hatuwezi, Kiingereza hatuwezi na lugha za makabila yetu zinaondoka na babu na bibi zetu.
Ha ha ha mkuu umemaliza
 
Shahidi ameyakumbuka mamilioni yake, uchungu umemshikaa hadi ameshindwa kuendelea kutoa ushahidi[emoji1787]

Hamjaelewa Nini Sasa nyie vilaza[emoji13]
Ndio ilibidi waandike hivi.
 
Back
Top Bottom