Tangu TVE wajiunge na huyo kibinda nkoi nimeacha kuwaangalia
Tangu TVE wajiunge na huyo kibinda nkoi nimeacha kuwaangalia
Watanzania waikacha TV E kisa. wameungana na Bashite. Kwisha kabisa TV E
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkiwa mnaogelea baharini wote mnakuwa na kimo sawa..Kwani Makonda ameathiri vipi mfumo wako wa maisha na wa kutafuta Pesa kwa ajili yako na Familia yako nzima? Sioni tatizo lolote kwa Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul C. Makonda na najivunia kuwa na Mkuu wa Mkoa ' mpambanaji ' kama Makonda hasa katika huu Mkoa wangu mzuri wa Dar es Salaam.
Tafadhali RC Makonda piga ' Kazi ' usitishwe na ' Mpuuzi ' yoyote tuko nyuma yako na tunakukubali 100%.
Huyo wako wewe, hapa tunawaongelea wa ITV.
Aaaaaaghhhhh....wapi Mkuu hakuna lolote. Hapana chezea Jackline Silemu na Julieth Robert na ukiona hadi GENTAMYCINE nasifia au nakubali kitu basi jua hata Mbinguni kwa Mwenyezi Mungu kimepitishwa na kimebarikiwa. Huwa sipendagi ' vibovu vibovu ' Mimi Mkuu.
Akhsanteni sana ITV Daima kwani sasa mmemdaka GENTAMYCINE katika taarifa zenu za Habari za kila siku Saa mbili ( 2 ) Kamili usiku na mkiwaondoa tu hao nami naondoka nawaacha.
Njaribu kuifuta kwenye kisimbusi changu inakataa kufutikaWatanzania waikacha TV E kisa. wameungana na Bashite. Kwisha kabisa TV E
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu uyo apo kwenye picha ni wewe???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti KUNGUNII JIKE [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani ungepita tu kimya kimya ingekuwaje hadi ' Ujinyegeze ' hivi Kwangu? Kunguni Jike Wewe na huyo aliye ' like ' hiyo takataka yako.