ITV Daima tafadhalini kwa mateso haya mnayotupa, tuombeni radhi haraka Watazamaji wenu

ITV Daima tafadhalini kwa mateso haya mnayotupa, tuombeni radhi haraka Watazamaji wenu

Tangu TVE wajiunge na huyo kibinda nkoi nimeacha kuwaangalia

Kwani Makonda ameathiri vipi mfumo wako wa maisha na wa kutafuta Pesa kwa ajili yako na Familia yako nzima? Sioni tatizo lolote kwa Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul C. Makonda na najivunia kuwa na Mkuu wa Mkoa ' mpambanaji ' kama Makonda hasa katika huu Mkoa wangu mzuri wa Dar es Salaam.

Tafadhali RC Makonda piga ' Kazi ' usitishwe na ' Mpuuzi ' yoyote tuko nyuma yako na tunakukubali 100%.
 
Mkiwa mnaogelea baharini wote mnakuwa na kimo sawa..
 
Aaaaaaghhhhh....wapi Mkuu hakuna lolote. Hapana chezea Jackline Silemu na Julieth Robert na ukiona hadi GENTAMYCINE nasifia au nakubali kitu basi jua hata Mbinguni kwa Mwenyezi Mungu kimepitishwa na kimebarikiwa. Huwa sipendagi ' vibovu vibovu ' Mimi Mkuu.

Akhsanteni sana ITV Daima kwani sasa mmemdaka GENTAMYCINE katika taarifa zenu za Habari za kila siku Saa mbili ( 2 ) Kamili usiku na mkiwaondoa tu hao nami naondoka nawaacha.

Haya mkuu,,ITV watafanyia kazi suala lako
 
ongea kwa nafsi yako "MIMI" = Mtazamaji wenu na sio Sisi watazamaji wenu. BTW namkubali kisa mwaipyana kichizi kuliko news anchor wengine hapa tanzania.
 
Aisee, hivi huwa unawaza nini hadi kuanza kuandika such detailed and analytical rubbish?
 
Kwani ungepita tu kimya kimya ingekuwaje hadi ' Ujinyegeze ' hivi Kwangu? Kunguni Jike Wewe na huyo aliye ' like ' hiyo takataka yako.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti KUNGUNII JIKE [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Pirate
 
Back
Top Bottom