GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #61
Huku ndiko kufa kwa JF, ukumbi wa porojo, porojo siyo ukumbi wa GT
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee, hivi huwa unawaza nini hadi kuanza kuandika such detailed and analytical rubbish?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti KUNGUNII JIKE [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pirate
Mmmhhh vijana mna mamblMkuu, hebu tupia picha zao, huenda ile siku nilijaza kikombe cha maziwa mpaka yakamwagika ni wao nilikuwa nawakodolea macho
Mkuu unasifia watu kwa kuona wakiwa wamepaka poda na mataa yale huku wakionekana sura tu?Aaaaaaghhhhh....wapi Mkuu hakuna lolote. Hapana chezea Jackline Silemu na Julieth Robert na ukiona hadi GENTAMYCINE nasifia au nakubali kitu basi jua hata Mbinguni kwa Mwenyezi Mungu kimepitishwa na kimebarikiwa. Huwa sipendagi ' vibovu vibovu ' Mimi Mkuu.
Akhsanteni sana ITV Daima kwani sasa mmemdaka GENTAMYCINE katika taarifa zenu za Habari za kila siku Saa mbili ( 2 ) Kamili usiku na mkiwaondoa tu hao nami naondoka nawaacha.
wana vutia kweli, wana mijicho hao...Wamefanyaje ITV
Aaaaaaghhhhh....wapi Mkuu hakuna lolote. Hapana chezea Jackline Silemu na Julieth Robert na ukiona hadi GENTAMYCINE nasifia au nakubali kitu basi jua hata Mbinguni kwa Mwenyezi Mungu kimepitishwa na kimebarikiwa. Huwa sipendagi ' vibovu vibovu ' Mimi Mkuu.
Akhsanteni sana ITV Daima kwani sasa mmemdaka GENTAMYCINE katika taarifa zenu za Habari za kila siku Saa mbili ( 2 ) Kamili usiku na mkiwaondoa tu hao nami naondoka nawaacha.
Pumbavu baba yako, ukinitukana nitakutukana, sitakuchagulia tusiUmelazimishwa au umeshikiwa Bunduki au Jiwe la Fatuma uufungue huu uzi? Pumbavu.