ITV Daima tafadhalini kwa mateso haya mnayotupa, tuombeni radhi haraka Watazamaji wenu

ITV Daima tafadhalini kwa mateso haya mnayotupa, tuombeni radhi haraka Watazamaji wenu

Aisee, hivi huwa unawaza nini hadi kuanza kuandika such detailed and analytical rubbish?

Huwa nawaza tu kama vile ninavyokuwa ' nakupumulia ' Kibaiolojia huku ' Kisogo ' chako kikiniangalia na kunifurahia.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti KUNGUNII JIKE [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Pirate

Kajaa mwenyewe na kama kawaida yangu nimempa ' dozi ' yake ambayo imeshamfanya hadi atulie na sasa atakuwa na adabu zote.
 
Aaaaaaghhhhh....wapi Mkuu hakuna lolote. Hapana chezea Jackline Silemu na Julieth Robert na ukiona hadi GENTAMYCINE nasifia au nakubali kitu basi jua hata Mbinguni kwa Mwenyezi Mungu kimepitishwa na kimebarikiwa. Huwa sipendagi ' vibovu vibovu ' Mimi Mkuu.

Akhsanteni sana ITV Daima kwani sasa mmemdaka GENTAMYCINE katika taarifa zenu za Habari za kila siku Saa mbili ( 2 ) Kamili usiku na mkiwaondoa tu hao nami naondoka nawaacha.
Mkuu unasifia watu kwa kuona wakiwa wamepaka poda na mataa yale huku wakionekana sura tu?
 
Aaaaaaghhhhh....wapi Mkuu hakuna lolote. Hapana chezea Jackline Silemu na Julieth Robert na ukiona hadi GENTAMYCINE nasifia au nakubali kitu basi jua hata Mbinguni kwa Mwenyezi Mungu kimepitishwa na kimebarikiwa. Huwa sipendagi ' vibovu vibovu ' Mimi Mkuu.

Akhsanteni sana ITV Daima kwani sasa mmemdaka GENTAMYCINE katika taarifa zenu za Habari za kila siku Saa mbili ( 2 ) Kamili usiku na mkiwaondoa tu hao nami naondoka nawaacha.

Dah..inawezekana mwenzetu tayari, au ni dalili...
 
ITV daima watakutesa daima!........believe me![emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mmoja hapo nimepiga sana akiwa chuoni...!

Wabillah Tawfiq,
 
Back
Top Bottom