raphaelpol
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 207
- 132
Jackline Silemu amefunga ndoa juzi juzi tu, kwaio nadhan mumewe amekuskia!!! [emoji114][emoji114][emoji114][emoji114]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani mdau kama mm vile za mwanzo nyingine tupilia mbali matangazo mpaka keroSiku hizi taarifa ya habari wamezidisha matangazo na mbwembwe. Mimi huwa naangalia zile taarifa mbili za mwanzo tu baada ya hapo natupitilia mbali kabisa mambo ya habari
Sent using Jamii Forums mobile app
Haiwezekani kabisa nyie ITV Daima mkatutesa sisi Watazamaji wenu kila uchao hasa kila muda wa Taarifa ya Habari yenu ya Saa mbili ( 2 ) usiku inapofika tu wakisoma hawa Watangazaji wawili Jackline Silemu na Julieth Robert huwa tunashindwa kabisa kufanya Kazi zingine za Kujenga nchi na kuwatafutia TRA na JPM Kodi yao.
Tangia nizaliwe na nimetizama taarifa za Habari mbalimbali za Tv zile kubwa kabisa za barani Afrika na Ulaya lakini sijawahi ' Kukumbana ' na Watangazaji wazuri, warembo na wenye mvuto kama hawa mlio nao nyie akina Jackline Silemu na Julieth Robert.
Wakisoma tu hawa Taarifa zenu za Habari kutokana na ' mvuto ' wao sisi Watazamaji huku huwa tunateseka kwa kiasi kikubwa mno.
Yafuatayo ni baadhi ya matukio ambayo hutupata na kutusababishia sana usumbufu pale tu Mtangazaji Jackline Silemu na Julieth Robert wakiwa wanasoma taarifa ya Habari ya ITV kila ifikapo Saa mbili ( 2 ) usiku kutokana na sisi kuwaangalia Wao kutokana na ' mvuto ' wao......
Tafadhalini Uongozi wa ITV Daima hebu tuombeni radhi sisi Watazamaji wenu kwani Watangazaji hao wawili tajwa hapo juu wana ' Urembo ' wa ' Kutukuka ' kama ule ambao alikuwa nao Mwanamke Mrembo kuliko wote huko Misri ' Cleopatra '.
- Kusahau kunywa Dawa za Malaria
- Kusahau Kula Chakula
- Kusahau kama tuna Wapenzi wetu
- Kusahau kama kuna dhambi duniani
- Kusahau kama kuna Kufa
- Kusahau kama TRA wanatudai Kodi zao
- Kusahau Kusali
Hongereni mno akina Jackline Silemu na mwenzako Julieth Robert kwani tunawapenda na tunawakubali sana. Kaeni mkijua kuwa nyie ni ' Warembo ' kuliko Watangazaji wengine wote waliopo katika Media zingine hapa duniani.
Akhsante ITV Daima na kwakweli kwa hawa ' Warembo ' wawili nimeamini kuwa nyie ni Super Brand na mnastahili. Nilikuwa sipendi kuangalia ITV ila tangia nianze kuwaona hawa Wadada wawili ' hakyanani ' ifikapo tu Saa mbili ( 2 ) Kamili huwa ' sibanduki ' ITV ili mradi ' niwakodolee ' tu kisha roho yangu ioge na itakase.
Nawasilisha.
Huyu si wa kupima mkojo tu, na haja kubwa kabisa.Si bure. Inabidi ukapimwe mkojo
Mmmmh!Haiwezekani kabisa nyie ITV Daima mkatutesa sisi Watazamaji wenu kila uchao hasa kila muda wa Taarifa ya Habari yenu ya Saa mbili ( 2 ) usiku inapofika tu wakisoma hawa Watangazaji wawili Jackline Silemu na Julieth Robert huwa tunashindwa kabisa kufanya Kazi zingine za Kujenga nchi na kuwatafutia TRA na JPM Kodi yao.
Tangia nizaliwe na nimetizama taarifa za Habari mbalimbali za Tv zile kubwa kabisa za barani Afrika na Ulaya lakini sijawahi ' Kukumbana ' na Watangazaji wazuri, warembo na wenye mvuto kama hawa mlio nao nyie akina Jackline Silemu na Julieth Robert.
Wakisoma tu hawa Taarifa zenu za Habari kutokana na ' mvuto ' wao sisi Watazamaji huku huwa tunateseka kwa kiasi kikubwa mno.
Yafuatayo ni baadhi ya matukio ambayo hutupata na kutusababishia sana usumbufu pale tu Mtangazaji Jackline Silemu na Julieth Robert wakiwa wanasoma taarifa ya Habari ya ITV kila ifikapo Saa mbili ( 2 ) usiku kutokana na sisi kuwaangalia Wao kutokana na ' mvuto ' wao......
Tafadhalini Uongozi wa ITV Daima hebu tuombeni radhi sisi Watazamaji wenu kwani Watangazaji hao wawili tajwa hapo juu wana ' Urembo ' wa ' Kutukuka ' kama ule ambao alikuwa nao Mwanamke Mrembo kuliko wote huko Misri ' Cleopatra '.
- Kusahau kunywa Dawa za Malaria
- Kusahau Kula Chakula
- Kusahau kama tuna Wapenzi wetu
- Kusahau kama kuna dhambi duniani
- Kusahau kama kuna Kufa
- Kusahau kama TRA wanatudai Kodi zao
- Kusahau Kusali
Hongereni mno akina Jackline Silemu na mwenzako Julieth Robert kwani tunawapenda na tunawakubali sana. Kaeni mkijua kuwa nyie ni ' Warembo ' kuliko Watangazaji wengine wote waliopo katika Media zingine hapa duniani.
Akhsante ITV Daima na kwakweli kwa hawa ' Warembo ' wawili nimeamini kuwa nyie ni Super Brand na mnastahili. Nilikuwa sipendi kuangalia ITV ila tangia nianze kuwaona hawa Wadada wawili ' hakyanani ' ifikapo tu Saa mbili ( 2 ) Kamili huwa ' sibanduki ' ITV ili mradi ' niwakodolee ' tu kisha roho yangu ioge na itakase.
Nawasilisha.
Clouds tv nao wana mwanadada Mahija Zayumba naye yuko vizuri..akitangaza nakua interested kwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo wako wewe, hapa tunawaongelea wa ITV.We hujawai kuona wanawake wazuri,,me nna mtoto wa kinyarwanda, hao wanasubiri