ITV ilipofunguliwa mwaka 1994

Yule mzee alikuwa anaitwa Alfred Nitwa
Unachanganya.....

Kulikuwa na Albert Nitwa na Reinfred Masako....

Masako huyu nakumbuka ndo alikuwa akitangaza maombolezo ya Baba wa Taifa, wakati ITV ikirusha mubashara matangazo Yale....
 
BIG FACT
 
Ni Rehema Salim. Siku hizi yuko Azam.
 
Azam hakuna kitu ni ujinga tu waubagizi wa dinihawajielewi,mengi hajawahi wanagua waislam kama huyotu wenu wa azam
 
Apumzike kwa amani Reginald Mengi. Exposure yake na uthubutu wake katika kuwekeza akaja na copy ya ITV kutoka Uingereza.
Nakumbuka sana tangazo la sabuni Revola la Miriam Odemba kama anaoga flani kwenye Jacuzzi yupo na kitaulo tuu, basi unapata moto unatoka sebleni unaenda kupiga puchu😁
Alikuwa na balaa yule mwanamke sio uzuri ule.
 
Daaah ITV ilitufaa sana...
1. Acapulco Bay
2. The Bold and the Beautiful
3. Isidingo the need
4. Passions
5. The V
6. Family Matters
7. Fresh Prince of Bel Air
8. Friends
9. Mortal Kombat Conquest
10. The Crow
11. Earth: The Final Conflict
12. Mutant X
13. Beast Master
14. Walker Texas Ranger
15. Pointman
16. La Femme Nikita
17. Journey to the West a.k.a The Monkey King
18. Robocop
19. WWF Smackdown

Rest in Peace Mzee Mengi
 
Aisee badhii nakumbuka baadhi hapana PointmanLa Femme Nikita Beast Master The Crow Earth Mutant X hizi sizikumbuki nilikuwa kababy sana na 3 sijui 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…