Alex Fredrick
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 697
- 1,358
Nimetaka kulia. RIP Mzee Mengi.. Duniani hatuna mji Udumuo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimetaka kulia. RIP Mzee Mengi.. Duniani hatuna mji Udumuo
Asante mkuu nitaanza kufatilia, japo sijawah msikia na ni kitambo kapotea nilidhan yupo nje na kampuni zakeSeki yupo wasafi sasa hivi kwenye kipindi cha mgahawa na baba levo, kile kipindi chake chanel 5 nadhani kilikua kinaitwa city sound
Unachanganya.....Yule mzee alikuwa anaitwa Alfred Nitwa
BIG FACTEnzi hizo kuna kipindi radio one kinaitwa the heat sikosei, utasikia bongo fleva zote kipindi hicho Mr 2 ndio anatoka na nyimbo zake za Yamenikuta, Utaitwaje tozi shule kama huwezi imba mistari ya sugu? Hahahhaa
Kuna ile nani zaidi, Jumapili hapo, Alipambanishwa Buju Banto na Shaba Ranks Asee kete zote za moto pambano likawa droo ikabidi lirudiwe tena Siku nyingine Mnaikumbuka hii?
Radio station za siku hzi ukifungulia stori tuuu za watangazaji hazina mvuto tena.
Siku hizi uaminifu umeenda na Maji why ?Kulikua na vibanda/maduka wanayokodisha hiyo mikanda.
Sikumbuki ilikia bei gani ila ulikua unaukodi kwa usiku mmoja then unarudisha(uaminifu ulikua mkubwa mno miaka hiyo)
Ni Rehema Salim. Siku hizi yuko Azam.Mkuu kulikuwa na kibinti fulani kilikuwa shombe ITV kilikiwa sijui kinamalizia mimi ni sharifa tatadoo wa ITV hata sijui kama nimepatia jina, unakikumbuka.
Basi enzi hizo sisi tulikuwa tunadhani kila mtoto mzuri anayetokea kwenye tangazo ni mtoto wa mengi.
Kulikuwa na tangazo la revora soap.
Demu anaoga kwenye jacuz, anaambiwa tueleze siri ya mafanikio yako, anajibu sio siri ni revora. Sijui anaendelea kwani moisture yake ni tulivu na huniweka fresh mchana kutwa.
Nilikuwa nadhani mtoto wa mengi na nilikuwa kid ila namwelewa kinoma
Unamchanganya na Rukia Mtingwa.Rehema. Kuna wakati alikua kibosile Vodacom.
Azam hakuna kitu ni ujinga tu waubagizi wa dinihawajielewi,mengi hajawahi wanagua waislam kama huyotu wenu wa azamItv wanastahili kupewa super brand, maana ilifika wakati ikawa kama tv ya taifa kwa ubora wa muonekano na vipindi japo baadaye ikaja star tv na tvt. Kwa sasa itv bado iko vizuri ila hakuna mabadiliko makubwa kidigitali kama azam tv waliokuja kwa kasi ya ajabu kwenye soko la media. Azam kaongeza chaneli nyingi kuliko itv. Hata hivyo itv bado inatazamwa na watazamaji wengi wa taarifa ya habari
WokungKuna ile movie ya nyani itv saa nne asubuhi inaitwaje
Sisi tulinunua JVC deki ndio tukanunua hio Panasonic mikanda ya kuzungusha enzi hizo hakuna deki za Cd Wala flashPANASONIC TX
Monkey kingWokung
YesMonkey king
Daaah, wewe jamaaa uishi milele!
SaA 1.30Neighbors
Stelingi alikuwa master wa msitu kweri kweri13. Beast Master
Alikuwa na rungu hilo linageuka kuwa mkuki......Stelingi alikuwa master wa msitu kweri kweri