ITV ilipofunguliwa mwaka 1994

Nakumbuka enzi hizo nimemaliza la saba, tunaishi kurasini shimo la udongo. Mshua alikuwa tra alinunua hitach flani hivi mtaa mzima tv ilikuwepo kwetu tu. Na ilikuwa unailipia kila mwaka sijui kama ilivo bunduki.
 
Dahhh!! Umri Umeenda asee
 
Back then where blackberries and apples were fruits not gadgets.
Mimi nawaambia madogo na mwanangu, utoto ni raha yani kama una wazazi wanaokujali hata kama kipato cha kawaida, huna stress. Ubaya haujirudii. Rip mzee wangu, nilianza mwelewa nilivyopata mtoto.
 
Home ilikuwa Kuangalia Tv basi ni ITV na Radio ni Radio one..
Katika vipindi ambavyo kilikuwa kinatukutanisha pamoja ni Isidingo.. Dahhh!!Mzee ameweza ameangalia episodes zote hadi imeisha🤣🤣🤣
 
True broo! Yaani daah hii thread imenirudisha mbali sana enzi hizo daah, basi tu kwa vile maisha hayarudi tena
 
Hizo 3 ulizotaja hadi miaka ya 2000 mwanzoni zilikuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…