bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
Ndiyo shukran. Wakati ule ilikuwa inaonyesha kwa masaa mawili au manne vile na muda wote ulikuwa ni nyimbo tu za akina Hamza Kalala na Twanga PepetaTBC ilikuja baadae Sana ikiitwa TVT
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo shukran. Wakati ule ilikuwa inaonyesha kwa masaa mawili au manne vile na muda wote ulikuwa ni nyimbo tu za akina Hamza Kalala na Twanga PepetaTBC ilikuja baadae Sana ikiitwa TVT
Alishafanya kazi ITV muda mrefu tu.Shyrose Bhanjia alikuwa TBC kama sikosei
eh hata sikumbuki labda nilikuwa nje ya nchiAlishafanya kazi ITV muda mrefu tu.
Nakumbuka enzi hizo nimemaliza la saba, tunaishi kurasini shimo la udongo. Mshua alikuwa tra alinunua hitach flani hivi mtaa mzima tv ilikuwepo kwetu tu. Na ilikuwa unailipia kila mwaka sijui kama ilivo bunduki.Kampuni ya IPP Limited mwaka 1994 inatambulisha chaneli ya Analog kwa jina ITV kupitia masafa ya mawimbi ya kawaida kipindi hiko.
Na kipindi hiko ndio mtaa mzima tumenunua TV ya PANASONIC TX iliyotoka 1993 sikumbuki model ikiwa ya rangi.
Kipindi hiko Tv inafunguliwa saa 8 au 10 sikumbuki ila inafungwa saa sita usiku.
Ndipo nilipo jua series kama:
*Family Matters
*Perfect Strangers
*fresh prince of bel air
*The V
Na matangazo kama :
*Revlon
*cocal cola
Kipindi hiko unaamka usiku kushuhudia ngumi za Mike Tyson.
Ila kuna dada mmoja ni kama mwarabu au muhindi fulani alikuwa ndo mtu wa kwanza ITV wanafungua ndo anaonekana sana. Hivi yupo wapi miaka 30 sasa.
Wenye kuijua ITV vizuri
[mention]pasco mayala [/mention] ni moja ya watu wenye kuijua ITV
Did I do that?
Umeisahau Rino Lenzi mkuu, ile jingle yake wakati tamthlia inaanza inapigwa mpaka kesho Radio OneAcapulco bay, point man, time traxx, dark justice, robbocop, sunset beach, walker Texas ranger, renegade..!
Daah enzi za utoto tulienjoy sana hizi tamthilia.
Dahhh!! Umri Umeenda aseeKampuni ya IPP Limited mwaka 1994 inatambulisha chaneli ya Analog kwa jina ITV kupitia masafa ya mawimbi ya kawaida kipindi hiko.
Na kipindi hiko ndio mtaa mzima tumenunua TV ya PANASONIC TX iliyotoka 1993 sikumbuki model ikiwa ya rangi.
Kipindi hiko Tv inafunguliwa saa 8 au 10 sikumbuki ila inafungwa saa sita usiku.
Ndipo nilipo jua series kama:
*Family Matters
*Perfect Strangers
*fresh prince of bel air
*The V
Na matangazo kama :
*Revlon
*cocal cola
Kipindi hiko unaamka usiku kushuhudia ngumi za Mike Tyson.
Ila kuna dada mmoja ni kama mwarabu au muhindi fulani alikuwa ndo mtu wa kwanza ITV wanafungua ndo anaonekana sana. Hivi yupo wapi miaka 30 sasa.
Wenye kuijua ITV vizuri
[mention]pasco mayala [/mention] ni moja ya watu wenye kuijua ITV
Back then where blackberries and apples were fruits not gadgets.Daaah unanikumbusha those days ninakula ugali wa baba na mama sikua na stress za sijui kodi, sijui bili za maji umeme,kabisa kucheki hizo comedy familiy matters, bill cosby, robocop, na nyingine nyingi, baada ya hapo naingia bed kulala huku nikila ngoma tamu kwenye redio mzee alinipa either ni flash backs, bongo fleva, R&B toka Redio free Africa huku kwa nje kuna Kamvua Mvua mwanana kananisindikiza usingizi wangu!
RIP my parents Mwenyezi Mungu awape Pumziko Jema,
Beautiful old days...daah sema tu maisha hayarudi nyuma
Home ilikuwa Kuangalia Tv basi ni ITV na Radio ni Radio one..Kampuni ya IPP Limited mwaka 1994 inatambulisha chaneli ya Analog kwa jina ITV kupitia masafa ya mawimbi ya kawaida kipindi hiko.
Na kipindi hiko ndio mtaa mzima tumenunua TV ya PANASONIC TX iliyotoka 1993 sikumbuki model ikiwa ya rangi.
Kipindi hiko Tv inafunguliwa saa 8 au 10 sikumbuki ila inafungwa saa sita usiku.
Ndipo nilipo jua series kama:
*Family Matters
*Perfect Strangers
*fresh prince of bel air
*The V
Na matangazo kama :
*Revlon
*cocal cola
Kipindi hiko unaamka usiku kushuhudia ngumi za Mike Tyson.
Ila kuna dada mmoja ni kama mwarabu au muhindi fulani alikuwa ndo mtu wa kwanza ITV wanafungua ndo anaonekana sana. Hivi yupo wapi miaka 30 sasa.
Wenye kuijua ITV vizuri
[mention]pasco mayala [/mention] ni moja ya watu wenye kuijua ITV
True broo! Yaani daah hii thread imenirudisha mbali sana enzi hizo daah, basi tu kwa vile maisha hayarudi tenaBack then where blackberries and apples were fruits not gadgets.
Mimi nawaambia madogo na mwanangu, utoto ni raha yani kama una wazazi wanaokujali hata kama kipato cha kawaida, huna stress. Ubaya haujirudii. Rip mzee wangu, nilianza mwelewa nilivyopata mtoto.
Yule Monkey King? Maarufu uswazi jina la ShivooKuna ile movie ya nyani itv saa nne asubuhi inaitwaje
Ndio hivyo mkuu, enzi za tausi mwishoni mwa miaka ya 90. If I could tun back the hands of timeTrue broo! Yaani daah hii thread imenirudisha mbali sana enzi hizo daah, basi tu kwa vile maisha hayarudi tena
Akina Bishanga
Hizo 3 ulizotaja hadi miaka ya 2000 mwanzoni zilikuwepoNimekumbuka the bold and the beautiful hiyo miaka ya 90, kulikuwa na tamthlia ya sunset beach, mara acapulco bay.
Mwendo wa kugeuza antena hapo, inaonyesha, geuza huko huko, aaaaah umeharibu rudisha upande wa mwanzo bado.
Pia sitosahau RFA walipozindua masafa ya FM nilikuwa bado mdogo sana nakumbuka bro wangu anaongea na rafiki yake kuhusu RFA na FM sikujua hata ni kitu gani ila kuanzia siku hiyo nikawa nasikia redio inazungumza vizuri.