ITV ilipofunguliwa mwaka 1994

ITV ilipofunguliwa mwaka 1994

Itakuwa ni Misanya Bingi huyo - mzee wa O.

41878325_1856114557816012_8952678072302174208_n.jpg


Aliishia kuwa Mhadhiri wa UDSM kitengo cha Sociology. Ameshafariki.
Alikuwa akikaa kwenye kiti cha kuzunguka lazima akizungushe zungushe ili mradi mbwembwe tu🤣🤣🤣
 
Hii tamthilia ilikuwa mwisho wa yote,sidhani kama kuna tamthilia ilivutia maelfu ya watu kupita hii ya wakenya kina Dama, Mponda,Mjuba, Jesca Brown,Lindi,Sugu chokoraa,Kibibi,Siti na wengine.Ilikuwa bora mtu akose kula kuliko ku miss Tausi

karumanzira
 
Hii tamthilia ilikuwa mwisho wa yote,sidhani kama kuna tamthilia ilivutia maelfu ya watu kupita hii ya wakenya kina Dama, Mponda,Mjuba, Jesca Brown,Lindi,Sugu chokoraa,Kibibi,Siti na wengine.Ilikuwa bora mtu akose kula kuliko ku miss Tausi
Kitaani tamthilia ya Tausi ilitungiwa hadi songi tuliimba sana enzi hizo nimeusahau unavyoanza🤣
 
ITV wamepita watangazaji wengi wa habari ila hawatakuja kupata mtangazaji mzuri wa habari kama Godwin Gondwe
 
Nakumbuka enzi hizo nimemaliza la saba, tunaishi kurasini shimo la udongo. Mshua alikuwa tra alinunua hitach flani hivi mtaa mzima tv ilikuwepo kwetu tu. Na ilikuwa unailipia kila mwaka sijui kama ilivo bunduki.
Mzee nami niliishi kurasini na kusoma pale pia.. Shimo la udongo kulikuwa na babu yangu.

Mie tv bimkubwa alinunua sababu utotoni nilikuwa miyeyusho kesi kwa majirani, lakini pia ilikuwa ni kama udhalili kwenda huko, wengine si wastaarabu bimkubwa ikabidi atununulie ka Hitachi
 
Kumbe itv imenizid umri
Halali [mention]Kelsea [/mention] anikatae[emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom